Mabinti wa Manyara, Singida na Dodoma huja mijini kwa ahadi ya kazi kumbe ni pimping, Nashauri walezi wawe makini wajiridhishe kabla ya kuwaachia

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono

Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa.

1, Bar - Yaani wauza bar na Pub imekuwa kama wamekariri kigezo kiwe mabinti waliotokea mikoa hiyo, Binti anafuatwa vijiji vya hiyo mikoa kama Mbulu (Manyara), Kondoa (Dodoma), Itigi (Singida), n.k. anaambiwa kuna kazi labda ya usafi, akifika mjini anazungukwa kumbe kazi yenyewe ni ya kuhudumia walevi, kwa umri mdoo walionao na hali zao kiuchumi ni rahisi kuwashawishi, mshahara wao unakuta elf 40 mwezi mzima unategemea wapi watapata pesa ? Muda huo mmiliki wa Bar anatumia anachofanya huyo binti kujiingizia kipato cha ziada kupata wateja wa ziada, na hapa wamiliki wa bar unakuta kila mwezi anabadilisha wahudumu

2. Kuwadalalisha - Mara nyingi hii biashara maboss wao huwa ni wanawake, wanawaleta mabinti wa mikoa hiyo tena cha ajabu unakuta wametoka sehemu moja, wanawadanganya kuna kazi nzuri lakini wakifika wanabadili gia angani. wanawalipia vyumba, kuwalisha, kuwavisha, n.k. Mteja anampa boss pesa, hao mabinti wanaenda kutumika, pesa wanapewa kidogo sana.

SULUHISHO:

Maeneo haya yathamini zaidi elimu kwa mtoto wa kike, watoto wakazaniwe kusoma, Kama ni kazi ma agent wanaowatafuta wawe wanabanwa kwa uhakiki zaidi .
 
Juzi nipo Dodoma mjini nimeingia dukani kununua nguo nakutana na wauzaji ni watoto miaka 10-13. Nilisikitika maana siamini kama ni watoto wa mwenye duka. Serikali iangalie ajira za watoto wadogo maana je wanalipwa stahili zao? Hawafanyiwi ukatili wa aina yeyote? Je vipi kuhusu haki yao ya kupata elimu?
 
Ila wengi hufanya kwa hiari na kujiongezea kipato, nazungumza kama mnufaika wa huduma ambaye nipo field
Kuna bar wanalipa mshahara elf 40 hii yote ni kuwaweka mazingira magumu wahudumu ili kuwalazimisha wawe wanajiuza kwa wateja, wanajengwa kisaikolojia kufanya hivyo kwa hiari lakini hawakuja mjini kwa kazi hiyo,
 
Mkuu hata hivyo mabinti kutoka mikoa tajwa asili yao inaendana na kazi hizo.
Hawana utulivu, ni micharuko na hao maagent wao wanapoint mabinti kutoka familia zisizo na msimamo kimaadili.
Naongea hivyo kwa uthibitisho maalum coz mi ni mnywaji mwandamizi.
 
Unazungumza kwa nadharia, usiwachukulie poa, wanajenga, wanasomesha etc kwa hizo hizo kazi
 
Ahadi Ya Mwana ~TANU
Rushwa Ni Adui Wa Haki, Sitatoa/Kupokea Rushwa

NITAJIELIMISHA Kwa Yangu Na Taifa Kwa Ujumla
Naam maalim.
Nitajielimisha nafsi yangu kadiri ya uwezi wangu na kuitumia elimu yangu kwa manufaa ya umma/kwa faida ya wote.
 
Wako wengi halafu hawana kazi unategemea wale wapi?
 
Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono

Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa...
Hayo ni matokeo ya wazazi wa hiyo mikoa kudharau elimu kwa watoto wa kike hawapewi kipao mbele..

Usipothamini kitu chako au mtoto wako usitegemee jamii nyingine itakuja kuwathamini.

Yaani kuna bar huku mjini miezi 3 zinabadilisha wahudumu vyuma vipya vinaingia kutoka singida bado vishamba shamba vikijanjaruka vinapigwa chini na vile havijui kukataa ni balaa..
 
"Nimekosa Mimi,,Nimekosa Mimii,,Nimekosa Sanaa.....!!"
 
Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono

Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa.

1, Bar - Yaani wauza bar na Pub imekuwa kama wamekariri kigezo kiwe mabinti waliotokea mikoa hiyo, Binti anafuatwa vijiji vya hiyo mikoa kama Mbulu (Manyara), Kondoa (Dodoma), Itigi (Singida), n.k. anaambiwa kuna kazi labda ya usafi, akifika mjini anazungukwa kumbe kazi yenyewe ni ya kuhudumia walevi, kwa umri mdoo walionao na hali zao kiuchumi ni rahisi kuwashawishi, mshahara wao unakuta elf 40 mwezi mzima unategemea wapi watapata pesa ? Muda huo mmiliki wa Bar anatumia anachofanya huyo binti kujiingizia kipato cha ziada kupata wateja wa ziada, na hapa wamiliki wa bar unakuta kila mwezi anabadilisha wahudumu

2. Kuwadalalisha - Mara nyingi hii biashara maboss wao huwa ni wanawake, wanawaleta mabinti wa mikoa hiyo tena cha ajabu unakuta wametoka sehemu moja, wanawadanganya kuna kazi nzuri lakini wakifika wanabadili gia angani. wanawalipia vyumba, kuwalisha, kuwavisha, n.k. Mteja anampa boss pesa, hao mabinti wanaenda kutumika, pesa wanapewa kidogo sana.
Yaeezekana ndo wengi au siyo wengi pia. Lkn itoshe kusema kuwa hakuna mkoa wenye kinga
Chanzo kikiwa ni kukosa elimu na umaskini.
 
Mkuu hata hivyo mabinti kutoka mikoa tajwa asili yao inaendana na kazi hizo.
Hawana utulivu, ni micharuko na hao maagent wao wanapoint mabinti kutoka familia zisizo na msimamo kimaadili.
Naongea hivyo kwa uthibitisho maalum coz mi ni mnywaji mwandamizi.
Tanzania yote hakuna kabila lisilotoa wahudumu wa baa/sehemu za vinywaji.Hakuna.Hao wapo midomoni mwa watu kwa ajili ya rangi yao na miundo/mijengeko ya miili yao.Wewe unawaonaje sheikh?
 
Back
Top Bottom