Pimping - Kupata fedha kwa njia ya kuwadalalisha wanawake watumike kingono
Kumekuwa na michezo michafu inafanyika mabinti wa mikoa hiyo Songida, Manyara na Dodoma wanaitwa kuja kwenye majiji wakiahidiwa kazi kumbe ni mambo mengine kabisa.
1, Bar - Yaani wauza bar na Pub imekuwa kama wamekariri kigezo kiwe mabinti waliotokea mikoa hiyo, Binti anafuatwa vijiji vya hiyo mikoa kama Mbulu (Manyara), Kondoa (Dodoma), Itigi (Singida), n.k. anaambiwa kuna kazi labda ya usafi, akifika mjini anazungukwa kumbe kazi yenyewe ni ya kuhudumia walevi, kwa umri mdoo walionao na hali zao kiuchumi ni rahisi kuwashawishi, mshahara wao unakuta elf 40 mwezi mzima unategemea wapi watapata pesa ? Muda huo mmiliki wa Bar anatumia anachofanya huyo binti kujiingizia kipato cha ziada kupata wateja wa ziada, na hapa wamiliki wa bar unakuta kila mwezi anabadilisha wahudumu
2. Kuwadalalisha - Mara nyingi hii biashara maboss wao huwa ni wanawake, wanawaleta mabinti wa mikoa hiyo tena cha ajabu unakuta wametoka sehemu moja, wanawadanganya kuna kazi nzuri lakini wakifika wanabadili gia angani. wanawalipia vyumba, kuwalisha, kuwavisha, n.k. Mteja anampa boss pesa, hao mabinti wanaenda kutumika, pesa wanapewa kidogo sana.
SULUHISHO:
Maeneo haya yathamini zaidi elimu kwa mtoto wa kike, watoto wakazaniwe kusoma, Kama ni kazi ma agent wanaowatafuta wawe wanabanwa kwa uhakiki zaidi .