Mabinti wenye umri wa kuolewa na hawajaolewa wafukuzwe nyumbani haraka

Nimekupangia wapi nakukumbusha hii ni forum lazima ujibiwe pona yako ni usicomment kabisa

Hapa umenifurahisha sana aisee. Imebidi nicheke. Eti pona yangu ni kuto-comment.

Huu ni uzi wako na bila shaka ulipouweka ulitegemea mawazo tofauti tofauti. Sasa tusipo-comment uzi si utadoda?

Unapokomaa kuwa hiyo style yako ya ulezi na kufukuza mabinti home ndiyo sahihi, si ndo kupangiana kwenyewe huko? [emoji16]

Mimi simlelei mtoto kwa vitisho namlelea asiogope maisha pale anapokutana na changamoto atumie akili na mbinu azikibali awe wa kike au wakiume

Sio kila changamoto ambazo zipo ndani ya uwezo wake kuzikabili anakimbilia kwangu hapana, anakuja kwangu mpaka nijiridhishe amerun-out of option simlelei mtoto kimayai au kwa vitisho namlelea aweze kutumia akili yake effectively sababu matatizo tumeumbiwa wanadamu

Kila mzazi bila shaka anamtakia mema na mafanikio mtoto wake. Na kila mzazi anapambana sana katika malezi yake ili kuutimiza huu wajibu mtakatifu aliojivika. Je, kuna njia moja ya kufikia jukumu hilo? Hapo ndipo tunapotofautiana. Kila mzazi anapambana kivyake...kwa mafanikio tofauti tofauti....

Na hoja yako mama (kama kichwa cha uzi wako kinavyosema) ni kwamba binti aliyefikisha umri wa kuolewa inabidi afukuzwe nyumbani. Na hapa ndipo tunapingana sana - pengine kuanzia katika kiwango cha kifalsafa tu.

Kwangu mimi thamani na upendo kwa binti yangu havina gharama, bei, matakwa wala mikatale. Ni ile wanaitaga priceless!

Na siamini kwamba eti ni lazima aolewe ndiyo malezi yangu mema kwake yajidhihirishe. Kwamba asipoolewa eti ndiyo nimefeli. Kwamba asipoolewa thamani yake kwangu inashuka mpaka nifikie hata kumfukuza. Nimfukuze aende wapi? Akatafute hao wanaume wa kumuoa kwa nguvu? Hao waoaji wenyewe wako wapi?

Wa kwangu huyu nimeshamwambia. Priority yake maishani iwe ni kuishi maisha yenye furaha. Afanye kitu anachokipenda. Kinachompa ridhiko. Kuanzia kazi na mengineyo. Bila presha kabisa. Huku akijua kuwa babake ni supporter wake nambari wani. Akiamua kuolewa ni sawa. Asipoamua kuolewa pia ni sawa. Cha muhimu tu awe na uwezo wa kuendesha maisha yake bila kutegemea watu lakini hapa kwa baba yake ni kwake pia na anaweza kurudi wakati wo wote akitaka. Na chumba chake kipo vile vile kama alivyokiacha....

Hii nimeipenda maana nadhani imemwondolea mzigo mabegani mwake. Usiwaone hivi. Mabinti hawa wana presha kubwa sana vichwani mwao. Jamii inawategemea waolewe kabla hawajavuka 30 wakati hata statistically tu hili haliwezekani maana wao ni wengi kuliko wanaume. Ukijumlisha na hizi changamoto zingine zinazokikabili hiki kizazi chao (wavulana kutotaka kuoa ili kukwepa majukumu, ushoga, wanaume legelege, sijui ukosefu wa nguvu za kiume...), ni wazi kwamba si mabinti wote wataolewa hata kama wakifikia umri wa kuolewa na wanatamani kuolewa. Na kuwanyanyapaa mpaka kuwafukuza majumbani sidhani kama ni suluhisho.

Hakuna kitu kinachompa mwanamke thamani kama kuwa na uhuru wake wa kiuchumi. Ule uwezo wa kuendesha maisha yake bila kumtegemea mwanaume wala mzazi wake. Nadhani juhudi zetu kama wazazi tungezielekeza huko badala ya kuwaongezea presha kwamba ni lazima waolewe wakifikia umri fulani; na wasipoolewa basi tunafikia hata kuwafukuza majumbani mwetu.

Huyu wangu amepambana mwenyewe amepata ma-scholarships yake huko anafanya Pre-Med. Ndoto yake ni kuwa pediatric cardiologist maana anapenda watoto sana. Na mpaka ninapoandika hapa anafanya kazi nzuri tu inayompatia mahitaji yake yote. Anajiamini. Ana mwanga katika maisha yake. Akiamua kuolewa sasa au baadaye ni sawa. Akiamua kutoolewa sasa na hata baadaye napo ni sawa. Akiamua kukaa nyumbani sasa na hata hapo baadaye napo ni sawa.

Bila presha yo yote...

Upendo wa baba [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Ina fuatana na mazingira mfano binti kama hajapata mtu wa kuja kumchumbia hapo ukimfukuza utakuwa kichaa tena kichaa kwelikweli.

Ila binti yangu akiwa na tabia ya kuwakataa wanaume wa maana wanao kuja kumchumbia na kumpa thamani ya kuwa mke, badala yake anaenda kuliwa hovyo na mabodaboda na masharobaro mitaani hata mm kwangu hakai ,na ww mzazi ukimdekeza binti mwenye akili za kipumbavu kama huyo utakuwa una pwaya sana.

Binti una miaka 23 husomi ,huna kazi inayo kupa kikwazo cha kuolewa, sio mgonjwa, wanaume wa kukuchumbia unawapata na bado hutaki kuolewa ww kama si malaya tukuiteje?
Miaka 23 ni mdogo sana kwa enzi hizi...
 
Mabinti wengi hawana sifa ya kuolewa .. shughuli Yao kubwa ni kudanga....udangaji unafanywa na mabinti wa aina na rika zote ...Kuna siku moja asubuhi nilikuwa na kazi ya kitaaluma lodge Fulani ..so nlishinda kuanzia asubuhi Hadi jioni Kwa siku kadhaa ...kitu nilichokiona nkaacha kuamini wanawake kwa mwonekano..kuanzia asubuhi Hadi jioni wanachakatwa hatari lodge ..wengi Kwa mwonekano hata hawafanani....najiuliza hawa ndio wake wa kuolewa kweli?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hapa umenifurahisha sana aisee. Imebidi nicheke. Eti pona yangu ni kuto-comment.

Huu ni uzi wako na bila shaka ulipouweka ulitegemea mawazo tofauti tofauti. Sasa tusipo-comment uzi si utadoda?

Unapokomaa kuwa hiyo style yako ya ulezi na kufukuza mabinti home ndiyo sahihi, si ndo kupangiana kwenyewe huko? [emoji16]

Kila mzazi bila shaka anamtakia mema na mafanikio mtoto wake. Na kila mzazi anapambana sana katika malezi yake ili kuutimiza huu wajibu mtakatifu aliojivika. Je, kuna njia moja ya kufikia jukumu hilo? Hapo ndipo tunapotofautiana. Kila mzazi anapambana kivyake...kwa mafanikio tofauti tofauti....

Na hoja yako mama (kama kichwa cha uzi wako kinavyosema) ni kwamba binti aliyefikisha umri wa kuolewa inabidi afukuzwe nyumbani. Na hapa ndipo tunapingana sana - pengine kuanzia katika kiwango cha kifalsafa tu.

Kwangu mimi thamani na upendo kwa binti yangu havina gharama, bei, matakwa wala mikatale. Ni ile wanaitaga priceless!

Na siamini kwamba eti ni lazima aolewe ndiyo malezi yangu mema kwake yajidhihirishe. Kwamba asipoolewa eti ndiyo nimefeli. Kwamba asipoolewa thamani yake kwangu inashuka mpaka nifikie hata kumfukuza. Nimfukuze aende wapi? Akatafute hao wanaume wa kumuoa kwa nguvu? Hao waoaji wenyewe wako wapi?

Wa kwangu huyu nimeshamwambia. Priority yake maishani iwe ni kuishi maisha yenye furaha. Afanye kitu anachokipenda. Kinachompa ridhiko. Kuanzia kazi na mengineyo. Bila presha kabisa. Huku akijua kuwa babake ni supporter wake nambari wani. Akiamua kuolewa ni sawa. Asipoamua kuolewa pia ni sawa. Cha muhimu tu awe na uwezo wa kuendesha maisha yake bila kutegemea watu lakini hapa kwa baba yake ni kwake pia na anaweza kurudi wakati wo wote akitaka. Na chumba chake kipo vile vile kama alivyokiacha....

Hii nimeipenda maana nadhani imemwondolea mzigo mabegani mwake. Usiwaone hivi. Mabinti hawa wana presha kubwa sana vichwani mwao. Jamii inawategemea waolewe kabla hawajavuka 30 wakati hata statistically tu hili haliwezekani maana wao ni wengi kuliko wanaume. Ukijumlisha na hizi changamoto zingine zinazokikabili hiki kizazi chao (wavulana kutotaka kuoa ili kukwepa majukumu, ushoga, wanaume legelege, sijui ukosefu wa nguvu za kiume...), ni wazi kwamba si mabinti wote wataolewa hata kama wakifikia umri wa kuolewa na wanatamani kuolewa. Na kuwanyanyapaa mpaka kuwafukuza majumbani sidhani kama ni suluhisho.

Hakuna kitu kinachompa mwanamke thamani kama kuwa na uhuru wake wa kiuchumi. Ule uwezo wa kuendesha maisha yake bila kumtegemea mwanaume wala mzazi wake. Nadhani juhudi zetu kama wazazi tungezielekeza huko badala ya kuwaongezea presha kwamba ni lazima waolewe wakifikia umri fulani; na wasipoolewa basi tunafikia hata kuwafukuza majumbani mwetu.

Huyu wangu amepambana mwenyewe amepata ma-scholarships yake huko anafanya Pre-Med. Ndoto yake ni kuwa pediatric cardiologist maana anapenda watoto sana. Na mpaka ninapoandika hapa anafanya kazi nzuri tu inayompatia mahitaji yake yote. Anajiamini. Ana mwanga katika maisha yake. Akiamua kuolewa sasa au baadaye ni sawa. Akiamua kutoolewa sasa na hata baadaye napo ni sawa. Akiamua kukaa nyumbani sasa na hata hapo baadaye napo ni sawa.

Bila presha yo yote...

Upendo wa baba [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Be blessed baba mzuri
 
Ili wakawe verified Malaya sindio?
Nyumban kuna faida maana ata kama ata kuwa na makando kando kutakuwa kuna vitu vinamlimit sasa nimfukuze ili ?
Aya waoaji wenyewe wapo?

Ata wala sijasoma uzi wenyewe
 
Kazi nzuri, kuwa na ela kamwe hakuwezi chukua nafasi ya ndoa na familia kila kitu kina nafasi yake na furaha yake hakuna ambacho kinaweza chukua nafasi ya ndoa

Alafu uzi hauhusu kazi nzuri ya mtoto wako bali unahusu ndoa
 
Miaka ijayo wanawake wengi watakuwa hawaolewi kipaumbele kitakuwa kupata watoto na wealthy, wachache wataolewa. Jitahidi umjenge mwanao wa kike katika mazingira ya utafutaji na kujitegemea ili awe na confidence mapema, aanze kuwa asset mapema, awe na uwezo wa kuyamudu mapenzi na ndoa bila kuyumbishwa. Wanaume huwa tunanyooka tukikutana na mwanamke mzuri msomi alafu anajielewa. Lakini hawa wenye makalio na pozi nyingi huchakatwa na kupigwa chini.
Furaha ya ndoa kamwe haitakaa kuwa replace na kitu chochote kile
Waliojaribu kureplace ndoa na vitu vingine wamejikuta wanaishi kwenye upweke na kukosa faraja kwa hali ya juu sana na kumepelekea wasifurahie maisha

Navyoongelea ndoa siongelei ndoa ya kanisani au misikitini naongelea maisha ya mahusiano kwa ujumla wake
 
Mkuu nikweli kabsa, ndoa nyingi zinadumu kwasababu wanawake hawana kipato na hawana njia nyingine ya kuishi zaidi ya kumtegemea mwanaume, na inapelekea mateso makali sana kwa wamama wengi,
Hata wao wakipata Hakuna rangi utooacha kuona
 
Kazi nzuri, kuwa na ela kamwe hakuwezi chukua nafasi ya ndoa na familia kila kitu kina nafasi yake na furaha yake hakuna ambacho kinaweza chukua nafasi ya ndoa

Alafu uzi hauhusu kazi nzuri ya mtoto wako bali unahusu ndoa

[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji119][emoji119][emoji2221][emoji2221][emoji2221]

Screenshot_20230326_143054_WhatsApp.jpg
 
Kuna mwanamke flani miaka kadhaa nilitaka kumuoa akaniambia hana hisia na mim ila anahisi ana hisia na mtu meingine nikamuuliza hilo swali unahakika huyo mwanaume ambaye uha hisia nae ana mpango wa kukuoa hakunijibu

Turudi kwenye mada wanawake wengi sana wanachumbiwa tatizo wanachagua sana nakuhakikishia hakuna mwanamke tanzania hii ambaye kwenye maisha yake yote hakuwahi tongozwa na. mwanaume wa maana ishu ni kwamba huyo mwanaume wa kuoa hana gari, na still anayapigania maisha
Sure
 
Back
Top Bottom