Abeid L Msanganzila
Senior Member
- Dec 30, 2018
- 192
- 441
Mkuu nakuona unarukia vitengo vya watu. In case, wewe ulisomea ualimu, basi hizi mambo za sheria achana nazo. Duniani kote kesi mahakamani huendeshwa hivo. Wakili amepewa uhuru wa kutosha anapomuuliza shahidi juu ya uhalisi wa ushahidi alioutoa. Anaweza kukuuliza hadi kama nyumbani kwako wewe na familia yako mnakula kilo ngapi za ugal kwa mlo mmoja! Lengo n kuichanganya akili ya shahidi na kama alikuwa amepanga matukio yake ya huo ushahid wa kubuni lazima atoke kwenye reli. Na hapo sasa ndipo mahakama inaaeza kufahamu kuwa ushahid wa shahidi n valid au invalid. Jifunze kufwatilia case kubwa kubwa ata za nje ya Tanzania, uta-gain something. Very sorry, maana unaoneka umepanic sanaaa. Au we ndo huyo shahidi kwenye case๐๐๐๐(joke)Basi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.
Mfano swali alilo muuliza shahidi ya kuwa Yale anayo enda kuyajibu yatapima uwezo wake wa akili na uadilifu wake, ni swali la kipumbavu na linaonyesha wakili hajielewi
Kwanza shahidi atajuaje hilo, pili kama ushahidi ulishatolewa hilo swali halina maana tena.
Ndio maana tunasema huo ni uhuni, na kupotezeana muda.
Huyo Wakili si anatafuta ukweli ? Au anacheza mdumange ? Maana yake anauliza kitu asichokijua ? Maana yake nini ?Wakili wa utetezi atolee shahidi wa mashitaka majibu mahakamani akyanani shingo yako imebeba mzigo wa fuvu bhana tuachane na hayo Bill ๐๐๐๐
Ukweli unapimwaje ? Wakati muulizaji Hana ukweli huo ?
Hivi unadhani anauliza vitu asivyovijua? Unadhani wakili anakoteza maswali kijiweni kama wewe?Ukweli unapimwaje ? Wakati muulizaji Hana ukweli huo ?
Shida niliyo Iona kwenu ni kwamba hamfikirii kwa undani juu ya hayo majibizano. Wewe Wakili unapo ya kuwa shahidi ametoa uhahidi wa kutunga, na shahidi akasema hajatunga. Wewe Wakili unatakiwa ukae kimya au uonyeshe ya kuwa alichokisema shahidi ni kitu Cha kutunga ?Kuwa mwelewa
Ikiwa shahidi kakubali kwamba ushahidi wa kutunga haufai kisha kwenye maelezo yake ikadhihirika alidanganya ni ushahidi tosha kwamba shahidi anakosa vitu alivyovitaja wakili ambavyo ndiyo msingi wa kutoa ushahidi mahakamani.
Huwezi kumchukua mtu
-Asiye muadilifu
-Asiye na hekima
-Asiye na akili njema
Then utegemee ataongea vitu valid kwa umma never.
Huo ndiyo msingi wa maswali ya mawakili na ndiyo maana unapewa kiapo kwamba utasema ukweli tu sasa hakimu anapopitia ili kuhukumu huwa anacheza na vyote hivyo ili atoe hukumu ya haki.
Polisi wetu wanafahamika wanamkamata mtu bila ushahidi wanaanza kuutengenezatengeneza ili mtu atiwe hatiani sasa maswali hayo mafupi huwa yanawaumbua kwamba wametunga mambo ndiyo maana mara nyingi kes zao wanaangukia pua.
Utamaliza wino unaandika ngoja tukuachie kijiti Bill Kweli Robert Heriel Mtibeli atawezaUkweli unapimwa kwa Cross Examination.
mfano unasema wewe ulikuwa Dereva wa kuwakamata, hao kina Bon yai siku ya Tukio.
Unaulizwa wakati unafika nyumbani kwa Bon Yai nani alikufungulia Geti?
Swali la shahidi kuulizwa Elimu yake ni swali la msingi Sana kwenye Kesi,
Huyo shahidi anadai ni dereva.Huyo Wakili si anatafuta ukweli ? Au anacheza mdumange ? Maana yake anauliza kitu asichokijua ? Maana yake nini ?
Umesoma majadiliano ?
Utamaliza wino unaandika ngoja tukuachie kijiti Bill Kweli Robert Heriel Mtibeli ataweza
Nimeshaonyesha maswali ya kipumbavu aliyo uliza Wakili.Hivi unadhani anauliza vitu asivyovijua? Unadhani wakili anakoteza maswali kijiweni kama wewe?
Mfano mdogo,
Pale alipoongelea habari ya George Steven kuwa ni jirani ya Bon. Wakati hakuna wa jina hilo jirani na Bon.
Maana yake unajua sio dereva. Basi mwambie wewe sio dereva, na sio kuleta uhuni.Huyo shahidi anadai ni dereva.
๐๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ nimecheka kifala eti wakili alitakiwa atoe ufafanuzi wa majibu sahihi. Mi nafikiri naongea na mtu kumbe ni shingo imebeba box
Na mimi namwachia Robert Heriel Mtibeli wino umeisha๐๐๐Utamaliza wino unaandika ngoja tukuachie kijiti Bill Kweli Robert Heriel Mtibeli ataweza
Na mimi namwachia Robert Heriel Mtibeli wino umeisha๐๐๐
Sasa akitafuta ukweli ndio ajijibu? Mahakama ndiyo inatafuta ukweli kupitia ushahidi na Cross examination mbumbumbu wahedi weee yaani mi sio kusoma majadiliano tu na case nyingi nimeskiliza kwahiyo wewe endelea kuendesha zako venye unajuaHuyo Wakili si anatafuta ukweli ? Au anacheza mdumange ? Maana yake anauliza kitu asichokijua ? Maana yake nini ?
Umesoma majadiliano ?
Labda kupitia hii case atasaidika au alitoka mirembe afya haijaimarika๐๐๐๐๐
Kisai anasheria zake hapa. Ngoja tuzitumie za kwake alafu tuone zinatija
Labda kupitia hii case atasaidika au alitoka mirembe afya haijaimarika๐๐
Hata ualimu ingemsaidia kidogo unajua, maana angejifunza kutulia apate uelewa kidogo japo wengine sio wanasheria ila kuna namna unajikuta tu unapata uelewa wa kuvukia barabara๐Mkuu nakuona unarukia vitengo vya watu. In case, wewe ulisomea ualimu, basi hizi mambo za sheria achana nazo. Duniani kote kesi mahakamani huendeshwa hivo. Wakili amepewa uhuru wa kutosha anapomuuliza shahidi juu ya uhalisi wa ushahidi alioutoa. Anaweza kukuuliza hadi kama nyumbani kwako wewe na familia yako mnakula kilo ngapi za ugal kwa mlo mmoja! Lengo n kuichanganya akili ya shahidi na kama alikuwa amepanga matukio yake ya huo ushahid wa kubuni lazima atoke kwenye reli. Na hapo sasa ndipo mahakama inaaeza kufahamu kuwa ushahid wa shahidi n valid au invalid. Jifunze kufwatilia case kubwa kubwa ata za nje ya Tanzania, uta-gain something. Very sorry, maana unaoneka umepanic sanaaa. Au we ndo huyo shahidi kwenye case๐๐๐๐(joke)
Si uone huyo mutu anagonjeka umuacheAnakuambia Kuuliza Elimu ya Mtu haina maana kwenye Kesi
Mwishowe hata kuuliza umri wa Mtu au jina lake atakuambia haina maana