Open school
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 1,575
- 2,440
Wewe ni raia wa nchi gani ambayo ina mahakama isiyo na kipindi cha cross examinations?Ndio maana nasema Kuna madhaifu makubwa sana katika uendeshaji wa kesi zenu. Ni uhuni na uchache wa maarifa. Ndio maana hata muhalifu huwa anatetewa na akashinda.
Na wakili anakuchanganya kwanza ili ujione mjinga kwanza ndio aanze kukuuliza maswali yake anayoona ni muhimu. Kweli upolisi ni kazi ya kijinga sana.Huyo shahidi kapaniki tu, lakini ni maswali easy na yanajibika
Sahihi na hiki ndicho kilimpanikisha.. kaja tayari anataka kumuonesha kibatala, ila alichofeli alipaswa kushindana nae katika utulivu na kufata sheria, kila swali unajua analenga nini kisha unamjibi kwa utulivu kabisa.. ni kama mnacheza drafti vile.Huyo shahidi, inaonyesha alishasikia sifa za Kibatala, hivyo alijiandaa kupambana naye! Bila kujua huko Mahakamani, kuna utaratibu unaofuatwa, na sio mambo ya kihuni kihuni, au ujuaji wa mitaani, unajijibia tu unavyotaka, au haulazimishwi kujibu swali ambalo hautaki kulijibu!
Wewe unabisha kitu usicho kijua...KUBISHA KITU USICHO KIJUA NI DALILI ZA UJINGA.Basi kama ameona upungufu, unajua alitakiwa afanye nini wakili ? Wakili alitakiwa aonyeshe huo upungufu na kutoa majibu sahihi.
Mfano swali alilo muuliza shahidi ya kuwa Yale anayo enda kuyajibu yatapima uwezo wake wa akili na uadilifu wake, ni swali la kipumbavu na linaonyesha wakili hajielewi
Kwanza shahidi atajuaje hilo, pili kama ushahidi ulishatolewa hilo swali halina maana tena.
Ndio maana tunasema huo ni uhuni, na kupotezeana muda.
Nyi wanasheria mnamvamia jamaa hajui kitu kama mimi tu nimecheka balaa anadhani mahakama za USA zinaenda tofauti na hapa..Bill huyu jamaa Bush lawyer ana nia ya kujifunza ila njia anayotumia sasa😄😄
US ya wapi huyo ni Bush lawyer tu wa humu humu sijui kasoma ualimu anahisi kile anachojua ndiyo watu wanakitumiaNyi wanasheria mnamvamia jamaa hajui kitu kama mimi tu nimecheka balaa anadhani mahakama za USA zinaenda tofauti na hapa..
Daah nimecheka sana ujue sema jamaa ni njagu nae sio mwalimu.US ya wapi huyo ni Bush lawyer tu wa humu humu sijui kasoma ualimu anahisi kile anachojua ndiyo watu wanakitumia
Sababu ni vifungu, sisi tunaongelea uhalisia na sio hisia. Upuuzi unabaki pale pale.Angekuwa nje ya mada hakimu angempa muongozo na ndiyo maana hakimu alikuwa anahitaji shahidi kujibu kilichoulizwa wanaongozwa na vifungu sio hisia
Mimi nimejikita kwenye usahihi na kupatia. Sasa kama nyinyi mnaona kila Sheria zenu, na uendeshaji wenu wa kesi ni sahihi. Huu ni Uhayawani.Nlichokiona kiujumla watu wengi wanajifanya wajuaji na wanahisi wanaweza kuenenda kwa fikra zao kwenye kesi ila kumbe hawajui kuna sheria zinasimamia yote hayo.
mkorinto , Kisai Rudini mjifunze hata kwa kuwauliza uliza wanasheria watawapa abc juu ya kesi zinavyoendeshwa mahakamani.
Mahakani haujibu kwa mihememko tu kwakuwa unajua kiswahili.
Na kingine mjue tu unapotoa ushahidi maelezo yoyote yanayohitaji exhibit toa hapohapo hakimu anazirecord hakunaga excuse za kusema sijaombwa exhibit mahakamani haijalishi unajua au hujui failing to do so hakimu anaandika hakuna kielelezo chochote kilichotolewa kuthibitisha maelezo ya shahidi inakuwa imetoka hiyo😀
Poa. Ungekosoa ninachokiandika ningekuona wa maana. Kumbe unalalamika.Wewe unabisha kitu usicho kijua...KUBISHA KITU USICHO KIJUA NI DALILI ZA UJINGA.
WEWE NI MBISHI PRO MAX.
alishaenda mwanasheria wa tigo kwenye kesi ya mbowe ,naamini hatamani Tena kukutana na kibatalaHivi haya mazungumzo nani huwa ni shahidi wa kuthibitisha ya kuwa ni kweli yalikuwa hivyo ?
Ni kama tungo fulani hivi, fulani ambayo inaonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye pande zote mbili.
Katika mazungumzo hayo inaonyesha ni kuwa mara nyingi mawalkili hukutana na watu ambao hawajui lugha, na hao mawalkili wanauliza maswali pasi na kuzingatia ufasaha wa lugha. Natamani siku wakutane na mjuzi wa lugha, kwa maana kila nukta anarekebishwa yeye kwanza Kabla ya kuendelea na swali lingine.
Kwa ufupi hufanya uhuni katika kuuliza maswali.
Sheria zenu zipi na za kwenu ni zipi? Maana mtu unavokuwa unapinga jambo toa hata mfano mmoja watu waelewe unapinga nini, umekaza fuvu utafikiri hauko tz na akati hata ile karatasi tu ya temporary kuvukia boda hujawahi kukata😀😀😀 uende hata hapo kenyaMimi nimejikita kwenye usahihi na kupatia. Sasa kama nyinyi mnaona kila Sheria zenu, na uendeshaji wenu wa kesi ni sahihi. Huu ni Uhayawani.
Sasa si wao.alishaenda mwanasheria wa tigo kwenye kesi ya mbowe ,naamini hatamani Tena kukutana na kibatala
Sasa kama huoni nachokipinga na bado unaendelea kunijibu huu ni wendawazimu.Sheria zenu zipi na za kwenu ni zipi? Maana mtu unavokuwa unapinga jambo toa hata mfano mmoja watu waelewe unapinga nini, umekaza fuvu utafikiri hauko tz na akati hata ile karatasi tu ya temporary kuvukia boda hujawahi kukata😀😀😀 uende hata hapo kenya
Naunga mkono hoja jamaa afungue mahakama yakeSheria ndiyo iko hivyo labda uwe na mahakama yako ubadilishe utaratibu....uwe na utaratibu unapopata muda unaenda unaskiliza case mbili tatu unapata tu ufahamu
Kweli I see huyu ni pongo kabsaa no wonder ni mweupe kichwani boflo pro maxDaah nimecheka sana ujue sema jamaa ni njagu nae sio mwalimu.
Wewe kama mimi hii mara ya pili huwa nafatilia sana..Huu mti
HUu mtiririko wa maswali ya wakili naupendaga sana
Yaani nafarijika sana moyoni
Kwani wewe ni raia wa wapi ?Ndio maana Sheria zenu Zina mapungufu sana. Hazina uhalisia. Sijui unaelewa ninachokiandika ?
Naongelea msingi, msingi ambao unabatilisha jambo lote.