Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

Nakaziaaa!

Piga banzi,foka Kwa kumwambia kosa lake afu timu.Ajue katimuliwa kwa ujinga upi!

Siku mbili nyingi,replace Mwingine[emoji14][emoji14]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sisi mabraza tunakomenti wapi mkuu....???

Madogo hawajiamini tatizo,, wanatafuta sana validation kwa wanawake,, Yaani vijana wa kiume wanataka wamvutie kila mwanamke...

They give so many unnecessary shit,,
 
Ni umri wao wa kutamba,hata sisi tulikuwa na mawazo kama yao, tusiwahukumu.
 
Hao wa kuwareplace na wengine,ni wale wa kuokoteza mtaani (kuishi nao bila ridhaa ya wazazi ama ndugu ).
 
Hao wa kuwareplace na wengine,ni wale wa kuokoteza mtaani (kuishi nao bila ridhaa ya wazazi ama ndugu ).
Nope usiwr na mwanamke mmoja. Siku zote unatakiwa kuwa nao at least wawili. Sasa huyu mmoja akizingua una mreplace na mwingine fasta na huyo mwingine ukiwa nae unatafuta mwingine wa akiba.

Karibu Kila kitu muhimu ktk mwili wako vipo viwili. Macho mikono miguu Figo etc.

Wanawake pia unatakiwa kuwa nao at least kuanzia wawili at the same time
 
Nakazia
Sisi mabraza tunakomenti wapi mkuu....???

Madogo hawajiamini tatizo,, wanatafuta sana validation kwa wanawake,, Yaani vijana wa kiume wanataka wamvutie kila mwanamke...

They give so many unnecessary shit,,
 
Ni umri wao wa kutamba,hata sisi tulikuwa na mawazo kama yao, tusiwahukumu.

Sawa Mkuu,, ila sasa wanakuwa mafukara kabisa kisa wanawake,,, ukiuliza maanguko mengi ya vijana wa kiume wa sasa Mwanamke pia ni sehemu ya anguko,,, Wanajisahau sana...

Ku-impress wanawake na society imekuwa daliy activity,, kutafuta followers tu daily,, Kijana wa kiume unakuta analamba lips social media ili avutie wadada,, Dume zima linajilamba lips na kunawa mikono hewani kama anatubu vile...

Hatari sana.
 
Hata hivyo wewe ni mwanaume wa ovyoo kabisa yani unatupa ela zako kwa mtuu unazani ndio anakupenda
 
well done
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…