Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

Mabraza wenye miaka 40+, mkiendelea kuwahubiri vijana wa 20+ na 30+ kupuuzia mambo haya kuhusu wanawake then they will be no hope for the future

Nakaziaaa!

Piga banzi,foka Kwa kumwambia kosa lake afu timu.Ajue katimuliwa kwa ujinga upi!

Siku mbili nyingi,replace Mwingine[emoji14][emoji14]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sisi mabraza tunakomenti wapi mkuu....???

Madogo hawajiamini tatizo,, wanatafuta sana validation kwa wanawake,, Yaani vijana wa kiume wanataka wamvutie kila mwanamke...

They give so many unnecessary shit,,
 
Sisi mabraza tunakomenti wapi mkuu....???

Madogo hawajiamini tatizo,, wanatafuta sana validation kwa wanawake,, Yaani vijana wa kiume wanataka wamvutie kila mwanamke...

They give so many unnecessary shit,,
Ni umri wao wa kutamba,hata sisi tulikuwa na mawazo kama yao, tusiwahukumu.
 
Hata mke wa ndoa mkuu ingawa Kwa mke wa ndoa unapaswa kuwa lenient kidogo...

Umerudi nyumbani umetoka kazini umekuta mke wako yupo anapiga story na mashoga zake na amekuona kabisa umeingia. Hajaja kukupokea yupo anapiga umbea na shoga zake

Umekaa ndani lisaa limoja kimya, masaa mawili kimya, uzalendo unakushinda unatuma watoto wakamuite anatuma ujumbe anakuja .. anakuja dk. 40 baadae..

Unasubiri nani Akwambie kwamba unatakiwa kumuacha mwanamke huyo siku hiyo hiyo?


piga chini fasta Kisha mreplace na mwanamke mwingine
Hao wa kuwareplace na wengine,ni wale wa kuokoteza mtaani (kuishi nao bila ridhaa ya wazazi ama ndugu ).
 
Hao wa kuwareplace na wengine,ni wale wa kuokoteza mtaani (kuishi nao bila ridhaa ya wazazi ama ndugu ).
Nope usiwr na mwanamke mmoja. Siku zote unatakiwa kuwa nao at least wawili. Sasa huyu mmoja akizingua una mreplace na mwingine fasta na huyo mwingine ukiwa nae unatafuta mwingine wa akiba.

Karibu Kila kitu muhimu ktk mwili wako vipo viwili. Macho mikono miguu Figo etc.

Wanawake pia unatakiwa kuwa nao at least kuanzia wawili at the same time
 
Nakazia
Sisi mabraza tunakomenti wapi mkuu....???

Madogo hawajiamini tatizo,, wanatafuta sana validation kwa wanawake,, Yaani vijana wa kiume wanataka wamvutie kila mwanamke...

They give so many unnecessary shit,,
 
Ni umri wao wa kutamba,hata sisi tulikuwa na mawazo kama yao, tusiwahukumu.

Sawa Mkuu,, ila sasa wanakuwa mafukara kabisa kisa wanawake,,, ukiuliza maanguko mengi ya vijana wa kiume wa sasa Mwanamke pia ni sehemu ya anguko,,, Wanajisahau sana...

Ku-impress wanawake na society imekuwa daliy activity,, kutafuta followers tu daily,, Kijana wa kiume unakuta analamba lips social media ili avutie wadada,, Dume zima linajilamba lips na kunawa mikono hewani kama anatubu vile...

Hatari sana.
 
Hata hivyo wewe ni mwanaume wa ovyoo kabisa yani unatupa ela zako kwa mtuu unazani ndio anakupenda
Ndio mkuu ujakosea ulosema ndio hali niliyonayo sasa
Yani nina mchumba yupo chuo ndio anamaliza mwezi huu tangu nianze nae mahusiano kila nikimuomba sex anadai amebanana mpaka amalize chuo na shida zake namsaidia tu
Na kila mara ananiambia niwe mvumilivu eti akimaliza chuo nitafutahi Dah[emoji3064] japo nampenda naishia kupewa denda tu, naona kama atanizingua hila nimepanga akizingua atakutana na matokeo ya kibabe[emoji123] awezi sahau maishani mwake maana hela niliyo tumia kumgalamia ni ndefu sana.
 
Asilimia kubwa ya Mabraza wenye miaka 40+ huwa Wana assume wanajua wanawake vizuri kuliko mtu yoyote.

Wakikaaga na vijana wa miaka 20+ na 30+ huwa wanawashauri na kuwafundisha kuvumilia/kustahimili na kupuuzia mambo ya hovyo na yasiyo faa yanayo fanywa na wanawake katika mahusiano au katika ndoa..

Na ukijifanya una busara ya kuwasikiliza mabraza mwisho wa siku watakushauri usamehe hata adultery .


Mfano Dogo wa miaka 26 kafyonzwa na mke wake plus kutukanwa matusi ya nguoni mbele ya watu, Dogo kaamua kwenda kuomba ushauri Kwa Mabraza wenye 40+ yrs.

Watakacho mwambia ni " hahahahaha Mdogo wetu hayo ni mambo ya kawaida sana Kwa wanawake hahahaha . Wanawake wote ndio Wako hivyo. Wewe potezea tu na kupuuzia"

Watamalizia Kwa kumpa story za uongo na Kweli jinsi walivyo wahi kuzinguliwa na wake zao lakini wamepuuzia ndio maana mpaka leo bado wapo pamoja"

Dogo atachukua ushauri huo Na mwisho ataishia kuwa bwege ndani ya nyumba yake mwenyewe.
Itafikia Mahali mke wake ataanza kuwaambia michepuko wake " pigeni simu Muda wowote jamaa Hana tatizo" ikifika hatua hii then u have failed as a husband. Huna sheria Yani, ndani ya nyumba yako Hakuna kiongozi, mkeo anaishi kama Wana WA Israel walivyo ishi kwenye WAAMUZI 21:25.

Kijana huyu na yeye akifika 40+ atawashauri vijana wa 20+ Na 30+ upuuzi huo huo na huu ujinga utaendelea kuwa recycled mpaka siku masiha atakapo rejea .

Acheni kuwashauri vijana ujinga

Vijana wenzangu wa 20+ na 30+ let me remind you one thing.

Mwanamke anapokuja kuanzisha mahusiano na wewe au anapoingia kwenye ndoa Na wewe huwa anakuja akiwa HANA TABIA.

Tabia atazikuta kwako.

I mean huwa anakuwa Hana tabia yoyote Ile kwako, tabia za jinsi ya kuishi Na wewe atazikuta kwako mwenyewe.

Wewe ndio utakae mfanya akuheshimu Na wewe ndio utakae fanya akudharau.

Wewe ndio utakae mfanya aishi kwenye fantasy life na wewe ndio utakae mfanya aishi maisha halisi.

Anapokuja kwenye Maisha yako kitu cha Kwanza ataku study ili ajue ur area of strength and ur areas of weakness and at the end of the day she will capitalize in ur areas of weakness and build her strength out of ur areas of weaknesses.

Mwanaume lazima uweke mipaka ambayo utaiheshimu Na utataka watu wengine waiheshimu akiwemo Na mke/mpenzi wako.

Kwamba yoyote atakae vuka mstari Huo basi kuwe na very expensive consequences.

HII inaitwa Self respect.
Usikubali kuvumulia au kupuuzia mambo ya hovyo hovyo( ya kukuvunjia heshima) utakayo fanyiwa na mwanamke.

Jiwekee utaratibu kwamba endapo mwanamke atakutamkia maneno Fulani ya kukuvunjia heshima wewe binafsi, au wazazi wako au watoto wako au kufanya Jambo lolote lile ambalo linagusa mzizi au mizizi ya ya uhusiano wenu basi reaction yako iwe ni kuachana Na mwanamke huyo papo hapo.
( Hili ni rahisi kama utakuwa Na mwanamke Zaidi ya mmoja. So jitaidi uwe Na atleast kuanzia wanawake wawili )

Kama nilivyo sema hapo awali mwanamke anapokuja kwako anakuja akiwa Hana tabia za jinsi ya kuishi na wewe, tabia atazikuta kwako..

Mwanamke huweza kuji tune jinsi ya kuishi na wewe kulingana na wewe mwenyewe ulivyo.

Ndio maana mwanamke anaweza akaachana na wewe Kwa Sababu eti ume mcheat halafu akaenda kuolewa mke wa tatu Na mwanaume mwingine na akaishi Kwa furaha kabisa..

Mwanamke anaweza kukununia Na kugoma kuja gheto Kwa Sababu hujampa Hela ya taxi kuja gheto kwako lakini at the same time aka enda kukopa Hela Kwa rafiki zake ili apate nauli kwenda Kwa kijamaa kingine . Wewe ndio umemfanya awe hivyo..


Mwanamke hujitune ili aendane Na tabia zako. Hata akisikia wewe ni bazazi atajitune hivyo hivyo... Utawasikia Wana ambiana " Fulani akikuchukua lazima akugeuze"

Achana kabisa na Huo upuuzi wa Ku vumilia mambo ya hovyo hovyo unayo fanyiwa na wanawake..

Mwanamke akikufanyia Jambo lolote linalo kuvunjia heshima yako kama mwanaume basi achana nae hapo hapo. " Wapenzi kugombana ni kawaida waachie mabwege"

Ukigombana Na mwanamke unatakiwa kuachana nae hapo hapo.

Akikujibu kunya muache hapo hapo Kisha m replace na
mwanamke mwingine.

Usikubali kuvumulia Jambo lolote la hovyo .

Usisahau duniani umeletwa kufurahia Maisha so usikubali mtu yoyote akukwaze .

Wewe sio mti ukiona sehemu haupati furaha basi ondoka mahali hapo haraka Sana ikimbilie furaha Mahali inako patikana.
well done
 
Back
Top Bottom