Ukubwa na udogo wa kitu huonyesha ukuu wa Mungu, ingawa kwenye post sikuzungumzia kuhusu vitu vidogo.
Kwanza Kuna vitu unabidi uvielewe kuhusu dini na imani;
•Nimesema kuwa (according to religious teachings), hatujapewa elimu juu vitu vyote. Akili ya binadamu ni limited.
Hata science bado haiwezi kuelezea mambo mengi ambayo tunayaona kila siku.
Hiyo science unayoiamini bado haina majibu juu ya mambo mengi tu;
Mfano
a. Kwanini tunalala?
b. Kwanini tunaota?
c. Kwanini tunapiga miayo?
d. Kwanini nyanya ina gini nyingi zaidi ya binadamu?
e. Mysteries of black holes
f. How magic works?
g. Source of disappearances in Bermuda triangle
Jiulize ni asilimia ngapi ya ulimwengu ishakuwa explored na binadamu?
Huko mbali, wanasayansi wenyewe wanasema ni asilimia tano tu ya bahari ndio imegunduliwa.
Vip kuhusu hii solar system yetu?
Vipi kuhusu our milky way galaxy?
Then what about billion of galaxies out there?
Kuamini Mungu kwanza you have to submit to the will of God. You have to admit that your mind, level of thinking, intellect and observation are very weak kitu ambacho atheist wengi hawataki kukubali.
Kama akili yako haiwezi kusolve vitu vidogo tu vipi inaweza kudiscuss vitu vikubwa kama creation. Binadamu alieshindwa kujua what is going on in Bermuda triangle!![emoji1787]
Kama akili yako imeshindwa kuaccomodate kuwa Mungu ndio mkubwa zaidi, yeye ndio tata zaidi, hana chanzo, hatakuwa na mwisho na yeye ndio kaumba least complex beings.
Vipi wewe unaamini universe ilianza as tiny particle? Hiyo particle ilitokea wapi? iliundwa na vitu gani, hivyo vitu vilitokea wapi? How can something emerge from nothing? Mwisho wa siku utakuja kuconclude kwamba akili yako haiwezi KAMWE kutolea maelezo vitu vyote. Science is true lakini ina LIMIT yake, uelewa wetu una limit pia.
Msingi mkubwa wa dini/imani ni belief. Hata science imejengwa katika kuamini na kwa ufupi kila taarifa ili ikubalike unapaswa kuiamini.
Kwa layman, kivipi unakubali kuwa binadamu alitua mwezini?
Kivipi unakubali picha za NASA ni real? Sio editing?
Kivipi unakubali uwepo wa black holes na haujawahi kushika hata binoculars/telescope?
Huko mbali, umeshahi kuziona sayari katika mfumo wetu wa jua kwa kutumia devices?
Unaamini matukio ya kihistoria? Je una empirical evidences at you hand?
Kama unakubali kuwepo kwa vitu hivyo basi wewe pia unaamini tu (not witness), na hii haimaanishi kuwa vitu hivyo havipo.
Kwanza ili uamini, unatakiwa kupewa evidence, na evidence ya uwepo wa Mungu ni vitabu vya Mungu, Maisha ya Manabii na Mambo waliyoyafanya.
Pili ili kuithibitisha taarifa fulani you only need to trust the informer (sio lazima information iwe perceived katika sense organ zako)
Kama mnavyowaamini NASA, Historians, researchers, theorists and philosophers ndivyo hivyo nasisi tunawaamini Manabii, their miracles, revelations, books of God n.k.
Haya yote tunayaongea ni kugusia tu kati ya vingi vilivyozungumziwa, bali ushahidi wa uwepo wa Mungu upo katika vitabu vyake. Ni uvivu wa kusoma lakini Kama utasoma vitabu hivyo basi hiyo doubt uliyokuwa nayo itaondoka.
Kuna kila aina ya ushahidi kwenye vitabu hivyo lakini MMEGOMA kuchukua maarifa huko.
Kwa ufupi tu, kama hivi vitabu vya dini vilitungwa na watu, viliwezaje kuzungumzia mambo ya kisayansi ambayo leo yanathibitishwa kuwa ni kweli.
Mfano katika Quran vimezungumziwa vitu vingi ambavyo vinaendana na modern science
-Embryology
-The sky's protection
-Beginning of universe
-Iron within meteorites
-The meeting of the seas
-Sun moving in orbit (galactic revolution of solar system)
-Mountains as stakes
-Expansion of the universe
-Pain receptors and many more.
Katika kutofautiana, unaweza ukachagua cha kuamini na ukakitafutia sababu za kuamini lakini kuna upande mmoja tu ambao uko sahihi.