Machache yanayonifanya niamini uwepo wa Mungu: Hatari ya kuamini hakuna Mungu

Hizo elimu zingine zimekuwepo kabla ya sayansi.Vipi kuhusu nguvu za asili mfano negative na positive energy na jinsi zinavyoathiri watu je sayansi inayo majibu?
Sayansi ndogo sana hio. Ukiwa na negative energy kubwa mafanikio yako yatakua hafifu. Usijawe na negative mindset.

Kwa uzoefu wangu wa kufanya kazi na wabongo pamoja na watu wa ulaya, wabongo asilimia kubwa tuna negative mindset kuliko wao. Na ndio maana wao wanafanikiwa zaidi
 
Hoja Yako haina logic kabisa cuz una Amini kuwa Kila kilichopo Duniani na nje ya uso wa Dunia kutakuwa kimeumbwa it means hata uwepo wa huyo mungu wako nao unaacha maswali kuwa hata Yeye uwepo wake umesababishwa na kuumbwa na mungu wake , so huoni hadi hapo huyo mungu wako ana kosa sifa ya kuwa mungu Kwa sababu na Yeye pia Kuna aliye muweka
 
Unahoja nzito sana ni vigumu Kwa low thinkers kukuelewa
 
Sayansi haina uwezo wa kutibu magonjwa ya kiroho mfano ukimwi,ushoga,uteja, uzinzi, laana nk. Bado sayansi ni elimu changa sana kumudu kujibu KILA kitu.
 
Waache wajifurahishe na imaginary stories mi pia na enjoy sana story za namna hiyo

Wakimaliza kujadili ulimwengu usio onekana waniite tutanue mjadala zaidi kwa kujadili Unicorn wa pink asiyeonekana na nitawahoji kujua ni kiasi gani wanakubaliana na stori hiyo
 
Sayansi haina uwezo wa kutibu magonjwa ya kiroho mfano ukimwi,ushoga,uteja, uzinzi, laana nk. Bado sayansi ni elimu changa sana kumudu kujibu KILA kitu.

Hahah.. ukimwi ni ugonjwa wa kiroho? Ushoga sio ugonjwa, ni hali tu mtu alivozaliwa na hormone zake. Uteja unatibika vizuri tu. Kuna jirani yetu wa zamani wa utotoni alikumbwa na uteja wa madawa ya kulevya aliathirika mpaka akawa na matatizo ya akili (ukichaa) ila baadae alipelekwa hospitali akapata tiba, na mwaka ujao anategemea kumaliza chuo... lakini angeenda kwenye makanisa, sijui misikiti asingepona. Mwanzoni aliambiwa karogwa, wakaenda kwenye makanisa na makanisa... wachungaji wanakula pesa zake tu. Ila wapi..

Uzinzi sio ugonjwa na hakuna kitu kama laana. Ni mawazo yako tu hayo...
 
Tukitoka hapo tujadili majoka yanayowapa watu mali...
 


Maswali ya ki-mwili kweli kweli !! 🤣🤣, kumfananisha Mungu na mchimba shimo aliyeingia shimoni!!🤣🤣.

God is a Spirit, He exist spiritually and performs consciously and Wisely in disciplinary whatever He likes. He embodies everything and He is not Occupied by any thing, He is eternity and every thing comes from Him and exist and some perish under His commandments. Huwezi kuyachukua mazingira ya kibinadamu (space time) na kuyafanya ya apply kwa Mungu aliyeyaumba hayo mazingira kwani Yeye ni beyond uumbaji wake, Usije ukauliza kama Mungu anaishi je anavuta Oxygen kiasi gani na anakunywa maji lita ngapi nk ??!🤣🤣
 
Hilo swala la spirit tunaelewa ni guard kuzuia maswali magumu.

Ukisema Mungu ni roho na kwamba sio kitu tangible utapata kigugumizi pale utapokuwa ukimuelezea sifa zake

Vitabu vyenu vimesema Mungu wenu ameketi kwenye kiti cha enzi, sasa kisicho hitaji space kivipi tena upande wa pili wa stori kitu hicho kinaelezewa kuwa kimekaa sehemu fulani?

Kama Mungu ana makazi yake mbinguni na tunaweza kuyajadili kuwa aliyaumba, kwanini swala la kuhoji mahali alipokuwa akiishi kabla ya kuumba hiyo mbingu likose majibu kwa kigezo cha roho?
 


Kiti cha enzi, kiti hicho kukaa juu ya maji nk, hayo ni maneno ya kimwili yenye maana za kiroho, maneno hayo Mungu kayaeleza kimwili ili akili zetu za kimwili zipate mfano wa picha tu.

Ni hivi; aliposema kiti cha enzi maana yake ni cheo, hadhi, utukufu nk wa Mungu na kiti hicho kukaa juu ya maji maana yake ni kwamba viumbe hai hususan Binadamu ndiye amepewa na Mungu vipawa (faculties) vya kutangaza au kuonyesha sifa za Mungu kwani viumbe hai vyote vimeumbwa kutokana na maji, au wawezasema kwamba maji katika lugha ya kiroho ni ufunuo kutoka kwa Mungu kuja kwa watu kupitia manabii Wake, Ufunuo unakuja kutangaza sifa za Mungu, hadhi na utukufu wake hiyo ndio maana ya enzi Yake kukaa juu ya maji, kifupi ni kwamba maneno mengine ya Mungu ndani ya Qur'an yamejaa falsafa za kiroho zaidi na ukiyatafsiri literally utapata maana za kuchekesha na utazidi kupotea zaidi basi ndipo Mungu anasema:- "Laa yumasuhu illa mutaharuun"--- yaani (mtu) haishiki isipokuwa yule aliyetakasika, ni hadi pale roho yako itakapotakasika, utakapopenda kutakasika, utajapojitahidi kumuomba Mungu kwa unyenyekevu akutakase ndipo (utashika) utaelewa maana za ndani za maneno yake.

Mungu haitaji watu Wababe wanaojiona kuwa wanazo akili kubwa (egos) wakati hata hizo akili wanazojivunia hawakujipa wao wenyewe bali hawajui au wametia pamba fikra zao ili wasitambue kwamba ni huyo huyo Mungu ndiye kawapa hizo akili. Mungu haitaji chochote kutoka kwetu bali sisi ndio tunaohitaji kutoka kwake na yeye ndiye aliyetuumba hivyo, je ni sisi au Yeye anayepaswa kumnyenyekea mwenzake in submission ??!!--- ukipata jibu sahihi la swali hilo basi yakupasa u act na utamuona Mungu akiwa mbele yako miraculously.
 
[emoji817]
 
[emoji23]
 

Haha... hivo vitu ulivolist as "science haina majibu ya vyenyewe" actually science inayo majibu yake...
 
Hata watu wa anga za juu kama NASA wanaamini uwepo wa Mungu, iweje sisi?

Mungu yupo na ndiyo maana Solar system yenye sayari kibao haijawahi kwenda service kwa ma billions ya miaka.
 
Hata watu wa anga za juu kama NASA wanaamini uwepo wa Mungu, iweje sisi?

Mungu yupo na ndiyo maana Solar system yenye sayari kibao haijawahi kwenda service kwa ma billions ya miaka.
Asilimia kubwa hawaamini uwepo wa Mungu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…