Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Wewe huna tofauti na hao mnawaita manabii feki kina Gwajima..Serikali ya CCM imepoteza dira na mwelekeo inaelekea shimoni inaenda kuanguka na anguko lake ni kubwa sana imepoteza mvuto inawatia hofu Watanzania masikini walianza na hofu ya internet, kwa maana ya Bando watu walichachamaa sana wakabadili gia angani baadaye tena wakaja na suala la Corona na chanjo watu wametishwa sana tena sana baadaye limekuja suala la kufukuza machinga nalo linafukuta hili ni hatari narudia kusema hili ni hatari linaenda kuiangamiza CCM amini nawaambieni ukweli ni kuwa watu wamedevelop resistance they are insensitive yaani hizi colonial mindset za viongozi wapumbavu ni mbaya sana unakuta yy a Anahudumiwa kila kitu na serikali anaanza tena kukimbizana na wafanyabiashara wadogo wadogo wanaotafuta 2000 ya kuwalisha watoto hivi hali hii ni zaidi ya mfumo wa kinyonyaji
Serikali iache kuhangaika na hawa watu wadogo wadogo ijiulize kuwa hawa mamilioni ya watu ambao haijawaajili wataenda wapi? yaaani kwa kweli very painful sana kwa Kheri CCM
Kwanza serikali haiwafukuzi inawapanga watakaokaidi lazima waone moto nchi lazima iwe na utaratibu.
Pili hao ni wachache sana huko mijini ukilinganisha na maelfu ya WaTzn ,tena wengi wako Dar,Mwanza basi kwingine hata hawana impacts ndio maana hujasikia kelele kutoka maeneo mengine.
Kwa hiyo unajilisha upepo, tatizo lilikuzwa na mwendazake lakini hatuwezi endelea hivyo likakua zaidi.
Rais kwa sasa anahangaika kurejesha uchumi wa kabla ya Magu kipindi cha JK ,pesa ilikuwepo na watu walipenda kujiajiri na biashara zilikuwa zinatoka