Kila mtu anakubaliana na hili except, do they have options kama zako?Kwenye hili la Wamachinga nitasimama na serikali yetu. HAIWEZEKANI WAMACHINGA WASAMBAA NA KUFANYA BIASHARA KILA MAHALI..tena tulichelewa sana kufanya uamuzi juu ya hili. BARABARA ZOTE ZA MIJI ZIMEJAA VIBANDA NA HAMANA KULIPA KODI. big NO to Machingas
Tatizo la mafisadi mna confidence ya kutoona aibuWithout a dought.
Aight prodigy.Umeongea nonsense kabisa
Pathetic fool
Bado tu hujanielewa! Kama mtoa mada mmoja alivyochangia humu, Machinga imeyokana na neno la kiingereza “marching guy” kwa maana ya kuwa hakai sehemu moja throughout, sidhani kama watashindwa unda vibaiskeli spesheli na kuzunguka navyo mitaani badala ya kujiposition sehemu moja. Huu ni mfano tu, ni wakati sasa viongozi kituonyesha bongo zao zinafikiria kwa kiasi gani.Unaongelea nchi gani? Huyo mmachinga wa kumpa kiwango atengeneze ni wa hapa! Na akishatengeneza aliweke wapi zaidi ya katikati ya barabara.
Wengi wa hao wamachinga wanalala kwenye mabanda yao.
Jiwe aliivuruga sana Tanzania.