Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Ni watu wale wale waliongia mikataba ya madini wakiwa mawaziri kwenye mambo ya uchumi zamani hizo. Mwekezaji katoa 2 billioni, mgodi unatengeneza faida ya $700m on average for the past 20 years.1. Ni mkopo wa USD 24 billion. Yaani nusu ya deni la taifa la sasa. Ukiongeza na riba yake ni zaidi ya hapo.
2. Bandari itamilikiwa na kuendeshwa na China kwa miaka 99...
Hela zenyewe alizowekeza kakopa tena with high interest tumelipa, service anayotoa ana tutoza hela kubwa and 20 years later bado anataka 50% economic benefit za mgodi tena kuzipata kwa mbinde kweli. Hiyo ndio mikataba walioingia hakina JK enzi zao.
We get it JK has become influential again kwenye Tanzanian politics ila investment sio sehemu anayoifahamu; Nehemia tu alimwacha afanye atakavyo ata anapoambiwa huyo mtu hafai yeye akionyeshwa michoro mizuri ya majengo anacheka cheka tu na kusifia wakati jamaa anaumiza walipa rent miradi yake aijilipi.
Ndio huku sasa bandari ni swala la lazima hilo halina ubishi either anajenga mchina au anajenga serikali ya Tanzania; issue ya serikali ya Magufuli ilikuwa ni terms za mchina na sio kwamba hawaitaki bandari.
JK amerudi tena kwenye influence someone needs to tell this old ana umuhimu kwenye kumshauri mama mambo mengi isipokuwa maswala ya national investment kwa sababu hayaelewi ata kidogo yeye anavutiwa na michoro tu.