Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

Acha upumbavu wewe,nduguyo alifariki kwa upumbavu wake.

Kwa hiyo wewe kwa akili yako ya kijinga serikali iache kutafuta fursa za Uchumi kwa sababu gani hasa?
 
Haahaa Anza we kujitokeza, Kama hutavunjwa miguu..
 

Hili neno "Magufuli tutamkumbuka mno" sasa basii, it's enough! Mmetuchosha na RIP zenu kila kukicha.



Mama samia asante sana, na ubarikiwe!
 
JPM alikejeli Sana Marais wenzake waliopita hasa jk, wakati kwa miaka 20 alikuwa waziri wa serikali hizo
 
Wewe hapo ulipo hata kabla ya huo mradi haujaanza unakosa nini au unafaidika na nini kwa kutokujengwa huo mradi?
 
Tulieni sindano iwaingie vizuri makalioni
 
Umeuona mkataba?! Haya tuambie una vipengele gani vibaya? Au mnafuata mkumbo sababu dikteta alikuwa haupendi huo mradi kwa chuki zake binafsi na mkwere.
Hiyo ndiyo sababu kuu hao CHAWA wa Jiwe wana rohoja hovyooo
 
Hata Dubai wameugomea uwekezaji wa matrilion ya dola miaka hiyo leo isingekuwa HUB ya dunia ya usafiri wa ndege na mahotel ya kifahari.

Watanzania msiogope uwekezaji...hiyo ni roho ya kimaskini.
Wanao pinga ni chawa wa Jiwe ili kulinda alicho kiamini kwa kutudanganya watanzania
 
Sasa unajengwa na kama hutaki kajinyonge maana huna faida
 
Lowasa alisema mradi haufai.

Magufuli alisema ni mjinga pekee atakaye saini mkataba na akauvunja.

Kwanini rais Samia hauweki mkataba wazi tuusome wote.
Mbona haukuulizia mkataba wa bwawa la Nyerere kule rufiji?
Mbona hukuhoji mikataba ya SGR?
Tulieni tuijenge nchi wacheni ukichaa wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…