Machozi yamenitoka kusikia Bandari ya Bagamoyo itajengwa, tena na Wachina

Unalialia ungana na wanaodai katiba mpya hii katiba onatengeneza vi-mungu dunia aamkeni ccm
 
Mwenda zake alisema IPO siku tutamkumbuka na bado na baaado
 
Si ni wachina wamejenga VETA CHATO? UNADHANI HIZO ZAWADI ALIZOKUWA ANAPEWA MWENDAZAKE N BUREBURE?
 
Kwa hili Mama Samia naomba tafakari upya, tena Mungu akuongoze sana
Naona kama naanza kukosa Imani kwake, kweli haburuzwi, lakini wapi wanaomburuza, sasa hivi wema watakaa pembeni
 
Tushapigwa,imeshakula kwetu
 
Tuondolee ushamba wa kisukuma hapa!
 
Hizi ni akili za kijamaa na za kipumbavu kabisa.
 
Hahaaaaa!hatunywi sumu hayujinyongiii,ccm mbele Kwa mbeleee

SSH chapa kazi, ndani ya siku 100 masheikh waliokaa ndani muongo mmoja Umemaliza,VRF ya loarn board fyekelea mbali,madaraja wafanyakazi juu, Nasikia na zile mia mia zetu tulizochanga wakina Mbowe wasifungwe zimerudishwa.
 
Mbona huu mradi hata kipofu hawezi kutia saini yake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mchezo unaanza hivi.......

Bidhaa nyingi zinazoagizwa nje ya nchi zinatoka China na wabia wakuu wa kuagiza bidhaa hizi wanatoka china

Halafu wachina wawe na bandari yao, hivi unategemea hizo bidhaa zitashushwa kwenye bandari ipi?

Wachina watajenga bandari yenye hadhi na yenye uwezo mkubwa wa kuhudumia mizigo mingi kwa wakati mmoja tofauti na hizi bandari zetu nyingine hivyo kupelekea wateja wengi wa mizigo kushusha mizigo yao kwenye hiyo bandari

Mchezo utaisha hivi.....[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Hakuna mfanyabiashara atakae taka kushusha mizigo kwenye hii bandari ya dar yenye mizengwe mingi

Hili litagharimu taifa kwa miaka mingi Sana

Mama oyeeeee.......
 
Wewe ulikuwa segerea nn wkt wanasema vifungu vilivyomo kwenye mkataba? Kama huyo mama yenu ni mkweli na mwenye kutaka mema kwa watu wake apeleke Bungeni huo Mkataba ukachambuliwe
Bunge lipi mkuu? Wakati hii hoja wameifufua wao?
 

Serikali kitendeeni haki kirusi cha Wuhan. Hii fichianaji sababu za vifo zinaleta mdomo sana

Kujiachia mtu kwa raha zake katikati ya mwana wa Wuhan bila ya tahadhari zozote mbona ni zaidi mno ya kuonja sumu kwa ulimi?
 
Mzee mzee nakuita mara 3 hakuna mtu yeyoye anaeijua shipping vzr akakubali wazo la POB (Port of Bagamoyo) rabda awe ni mfuasi wa hawa madalali wa wachina

Hyo kazi unayoisema ya hyo bandari ya Bagamoyo kwa sasa inafanywa na Port of Salalah ya Omani kitu ambacho leo eti Bagamoyo ndo iwe transshipment hub kwa Africa ina maana Salalah Port ,Port of Jebel Ali, Durban port zote zife ndo hyo Port yenu ya Bagamoyo ifanye kazi iliyokusudiwa kitu ambacho HAKIWEZEKANI HATA KIDOGO kingine nitajie project ya wachina kwa Africa ambayo inaoperate kwa faida ? Leo Wazambia,Wakenya wanajuta kuingia huu upuuzi ambao mama yenu anataka kuingia na wachina .
 
Kweli me jitu la Morogoro lakini turudi kwenye swali la msingi inakuwaje unahitaji huu mkataba uende bungeni ndio uamini wakati uliamini maneno ya Magu bila mkataba kwenda bungeni? Swala la mkataba kwenda Bungeni ni muhimu lakini kwanini hukuwa unahoji terms za mkataba kipindi cha Magu

Marekebisho ya hizo bandari yanazuiaje hii bandari mpya kujengwa kama tutafaidika?
 
Tulia wewe msukule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…