Mh. Rais wangu Mama Samia. Ujue nakuunga sana mkono na miguu. Mimi ni supporter wako kufa kupona, ila Mama nakuomba sana, huu Mkataba wa Bagamoyo, uweke wazi kabisaaa kila kitu kiwe hadharani, plz plz mama, Mama, Mama yangu..
Do this, kila kitu kiwe wazi na kwa kila mtu ili tujue mbivu na mbichi na hii itatoa kila shaka na sintofahamu inayozunguka kwa kila mmoja wetu. Mm binafsi nawajua wachina kama mafisi, sasa Wachina ni hatari sana Mama yangu, nakuomba Mama jamani, tuwekee kila kipengele cha mkataba wazi ili tujua, tunapata nini na Wachina wanapata nini, Wachina sio watu Mama yangu, ni sawa kukubali mazungumzo yaanze upya, hilo sio baya, ila kuondoa sintohamu yoote, weka huu mkataba wazi na utaona hofu, wasiwasi na mashaka yote yatapotea, na mashaka ya wananchi wengi ni haki yao, kwani Wachina wanajulikana walivyofilisi nchi nyingi za kiafrika.. Tunaomba hilo Mama sana sanaa. Mungu tusaidie, Wachina kweli hapana