Mbona hamtaji hzo faida? Faida pekee ya bandari ya Bagamoyo ni kuua Bandari ya Dsm na wachina kuwageuza manamba kwa ujira wa sikuKweli me jitu la Morogoro lakini turudi kwenye swali la msingi inakuwaje unahitaji huu mkataba uende bungeni ndio uamini wakati uliamini maneno ya Magu bila mkataba kwenda bungeni? Swala la mkataba kwenda Bungeni ni muhimu lakini kwanini hukuwa unahoji terms za mkataba kipindi cha Magu
Marekebisho ya hizo bandari yanazuiaje hii bandari mpya kujengwa kama tutafaidika?
Sasa hapo ndipo unapotakiwa kwenda bungeni tujue faida na hasara. Binafsi sijawahi kuwapenda wachina kama wawekezaji lakini pia mazungumzo yanaendelea hivyo muwekezaji anaweza asiwe mchina.Mbona hamtaji hzo faida? Faida pekee ya bandari ya Bagamoyo ni kuua Bandari ya Dsm na wachina kuwageuza manamba kwa ujira wa siku
Lowasa alisema mradi haufai.
Magufuli alisema ni mjinga pekee atakaye saini mkataba na akauvunja.
Kwanini rais Samia hauweki mkataba wazi tuusome wote.
Ungeweka angalau hadharani ubaya wa huu mradi na mkataba wake ungetusaidia sana nasi wengine kutafakari..lakini sasa imekuwa kama vile unatumia maneno ya kuambiwa tu! Nahisi kipindi kile Lowasa aliukataa kwa sababu aliamini ni mradi wa chama cha mapnduzi, kwa kuwa yeye alikuwa mgombea wa Chadema ndio maana alisema vile bila kujua kuwa Magu angekuja kuukataa! Tuwekee uchambuzi wa ubaya wa huu mradi na wale wanaoutetea nao watuwekee uzuri wake mtusaidie nasi tuweze kutafakariAu Mungu katukataa Sisi watz hapa Duniani? Maana mbovu kila tumaini lililopo linayeyuka?
Lakini kwenye mambo kama haya aliwakatalia
Sikio la kufa...ngoja tuone, wakati mwingine Mungu hutoa nafasi kama hizi ili tuweze kujitambua zaidi...Lets keep on praying and see who is bigger kati ya Mungu na mwanadamuWazee tumekwisha rasmi. End of the game.
Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.
China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi.
Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa Wachina kuliko watz.
Tumeshindwa kuzitumia Bandari zetu kuzifanya dubai ndogo kuteka soko la nchi jirani na Kati.Bora tuwape wachina tu, SGR, mwendokasi tuwape wajerumani waendeshe,tazara wapewe wachina Ili vilete tijaSikuwahi kudhani Tanzania tuna uhaba wa Port mpk tuwauzie wachina Bagamoyo tumekarabati Bandari ya Dsm na Bandari zingine kwa gharama kubwa kabisa lakini leo tunakwenda kuziua bandari zote
Namuona Yuda ila sijui alimsaliti mwenzie kwa vipande 30 vya fedha au kwa ahadi ya kupewa kitu!!
Wala hajawai kuwa adui wa binadamu hadi achokozwe!Nyoka hajawahi kuwa rafiki wa binadamu
Akiachana na ajira faida zingine ni nyingi zaidi ya 50, nitajie hasara za huu mradi mbona nyie wajamaa mnaupinga sana?Unaweza faida zenye mashiko za Bandari ya Bagamoyo ukitoa ajira za vibarua mtakazo pewa na wachina ?
Waulete basi tuujadili tuuone...China inajulikana na miradi yake mingi inajulikana kuna miracle gani tunasubiri kutoka huko?Unalialia nini wakati kila siku mnasema hamjui kilichomo kwenye mkataba
Mataga tulia mbona ukutoka machozi Chato airport kujengwa Ili kutoreshea madini yetu Rwanda,Wazee tumekwisha rasmi. End of the game.
Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.
China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi.
Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa Wachina kuliko watz.
Faida zitaifungua corido ya bagamoyoAkiachana na ajira faida zingine ni nyingi zaidi ya 50, nitajie hasara za huu mradi mbona nyie wajamaa mnaupinga sana?
Magufuli aliuawa 100% ili
kupisha haya yanayoendelea kwa sasa nchini!
Hivi viongozi wengine si wajitokeze kukataa huu upunguani waone jinsi wananchi watakavyowaunga mkono?
Majaliwa, CDF, Kabudi, na wengine mnafanya nini???
Kataeni huu ukichaa
na hata mkitishwa ndani ya chama ama katika nafasi zenu!
uendeni hata chama kingine muone mtakavyopokelewa kama mashujaa wa nchi!
Rais ameamua kumfurahisha Kikwete ni sawa!
Shida ni kwamba wengi nao ni wachumia tumbo!
Kiukweli wanaoumia ni wengi kwa huu ujinga unaoendelea kwa sasa Tanzania!
ni swal la muda tu!
Hakuna anayeukataa uwekezaji, na kuhusu Dubai gharama ya uwekezaji huo ni kwa malipo ya damu ya waarabu wenzao ndiyo maana mpaka leo nchi zao nyingi zipo kama zilivyo kwenye vita visivyoisha...Sasa kama hatutaki vya dhuluma basi tuwe kweli watu wasioshiriki dhuluma...Vinginenvyo Mungu yupo na tutaona tutafika wapi katika hiliHata Dubai wameugomea uwekezaji wa matrilion ya dola miaka hiyo leo isingekuwa HUB ya dunia ya usafiri wa ndege na mahotel ya kifahari.
Watanzania msiogope uwekezaji...hiyo ni roho ya kimaskini.
Unapofuka eeh?.Kwa hiyo wewe tatizo lako ni jina bagamoyo?daaa!!pathetic kumbe ndio wale wale ambao wanapinga mambo bila kujua hasa hiyo bandari ni ya aina gani?hiyo bandari ya mtwara/dar kuna eneo hpo la kutosha aina hii ya bandari?!!
Propaganda za mwendakuzimu zilifanikiwa kuteka akili za watz wengi.Faida zitaifungua corido ya bagamoyo