petro matei
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 803
- 937
Na wewe umekuwa brain washed na nani?...Mchina/mzunguThe best thing Magufuli heavily succeeded is on "BRAINWASHING PROPAGANDA". You can name it from corona to uzalendo. I bet, this will cost the nation for a decades. Today, everything is equated to what Magu believed. We are sick nation ready for special healing.
Kwahio ingejengwa Chato ingemnufaisha Magufuli ila hapo Bagamoyo haimnufaishi KikweteMpuuzi ww, Sasa kumbe unalalama mkataba haufai wakati hata kuona ujauona, mmekalilishwa na Magufuli tu, magufuli alikuwa na chuki iyo bandari isijengwe bagamoyo, alihisi itamnufahisha kikwete, alitamani ikajengwe chato
Labda machungu ya kuwafanya watz waishi kwa uchungu.Na kuwafanya wawe masikini ili wawatawaleMkuu baada ya Nyerere aliyekuwa na machungu na nchi hii aliyefuatani Raid Mpendwa Magufuli. Waliobaki na mamisheni town tu!!!
Kwahio JPM aliambiwa na wamarekani akatae ujenzi wa bandari ya bagamoyoUkisikia kelele nyingi kuhusu china,kwamba inazinyonya nchi za Afrika,unaweza ukadhani hao wanaozusha na kupiga hizo kelele,Kuna jema lolote waliloifsnyia Afrika.
Kelele na propaganda zinapigwa na USA,UK,Ulaya,Ufaransa,wao wanaona wivu,sie Afrika tukiomba msaada,wao wazungu wanaweka masharti magumu,haki za binadamu,utawala bora,haki za mashoga,lakini china,misaada yake Haina masharti,yeye haangalii kama nchi inaendeshwa kidikiteta,inakiuka haki za binadamu,mchina anatoa tu,hapo wazungu ndipo wanakereka wanaamua kuzusha propaganda.
Wazungu,ndio wametupitisha utumwani,kwenye ukoloni,hawana jema,Wala hawajawahi kuomba radhi kwa madhala waliyotufanyia,usiwasikilize sana.
Naona mnaongeza siku za maombolezo poleni sanaWazee tumekwisha rasmi. End of the game.
Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe.
China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu imefika rasmi.
Walau kwa hili, Magufuli tutamkumbuka mno. Hii bandari ina maslahi makubwa sana kwa Wachina kuliko watz.
Nasema hivi Nchi hii Iko na majitu mapumbav sana ... kitu amefqnikiwa jiwe ni ku brain was wajingaMkataba wa ununuzi wa ndege uliuona? Ulijiridhisha ulikuwa na maslahi kwa Watanzania?
Mkataba wa bwawa la Nyerere uliuona? Ulijiridhisha ulikuwa na maslahi kwa Watanzania?...
JPM alikuwa anatoa dondoo za mikataba na kwanini hauna maslahi kwa taifa...Mama nae atujuze kulikoni ghafla mkataba unalipa na una maslahi...nitajie mkataba mmoja ambao mwendazake aliuweka wazi ukasomwa na watanzania wote?ππππ
Siyo lazima ujue. Unasoma alama za nyakati tu. Kuipa nchi ya kigeni lango kuu la kuingilia na kutokea nchini kwako liwe chini yake?Unalialia nini wakati kila siku mnasema hamjui kilichomo kwenye mkataba
Baada ya kuandika, ulisoma ulichoandika kabla ya kupost?Labda machungu ya kuwafanya watz waishi kwa uchungu.Na kuwafanya wawe masikini ili wawatawale
1. Ni mkopo wa USD 24 billion. Yaani nusu ya deni la taifa la sasa. Ukiongeza na riba yake ni zaidi ya hapo.Umeuona mkataba?! Haya tuambie una vipengele gani vibaya? Au mnafuata mkumbo sababu dikteta alikuwa haupendi huo mradi kwa chuki zake binafsi na mkwere.
πππ waandamane tu kwa kweli...kazi inaendelea tuHata Wewe Unaweza! Anzisha maandamano, mbona Mange Kimambi alhamasisha maandamano, tafutaneni masukumagang wote, andamaneni!
Corona ilipotezwa kwa maombi ya siku 3...mambo mengine mtu unaishia kucheka tu yaaniThe best thing Magufuli heavily succeeded is on "BRAINWASHING PROPAGANDA". You can name it from corona to uzalendo. I bet, this will cost the nation for a decades. Today, everything is equated to what Magu believed. We are sick nation ready for special healing.