Sio vizuri kubishana na watu nisiowajua..If magic and witchcraft really existed people would have weaponized them long time ago. We would have invisible rockets and enchanted bullets.
Afrika inayo jidai ina uchawi mbona inashindwa kuutumia kushinda kombe la dunia?
Afrika inayo jidai ina uchawi wenye nguvu ilishindwa kuutumia huo uchawi kuwaloga wazungu wakati wa utumwa na ukoloni. Miafrika ilikufa kama kuku.
Mleta mada huna tofauti na Kinjeketile Ngwale aliye waaminisha watu wake wakipayuka maji! maji! maji! Risasi zitabadilika na kuwa maji kweli. Matokeo yake wakadunguliwa kama njiwa.
Hapa JF hatujaja kujuana.Sio vizuri kubishana na watu nisiowajua..
As a 'great thinker' I wish ungeelewa nilimaanisha niniHapa JF hatujaja kujuana.
Hatuko JF kujuana wala kufahamiana. Ndio maana watu wengi wanatumia fake id na majina bandia.
Tuko hapa kujenga hoja bila kufahamiana.
And this is a public forum. We need to know the reality.
Sio habari za danganya toto.
Great thinker wapi?As a 'great thinker' I wish ungeelewa nilimaanisha nini
Si wote wanaabudu Mungu ambaye anakinzana na nguvu nyingine. Au unadhani Mungu ni wa kwenye Biblia na Quran tu? Kuna maelfu ya Miungu. Kuna watu wanaabudu Mungu wa mvua au wa mavuno. Na kupata mvua na mavuno inategemea wamemfurahisha au wamemuudhi, na si kwamba anawasaidia kupigana na wachawi.Mtu anayejinasibu kuamini katika Mungu kisha akakataa uwepo wa uchawi na nguvu nyinginezo za giza huwa ninamuona kama mpumbavu tu.
Hizo nguvu za Mungu zinasimama dhidi ya nguvu gani.?
Unless ukubaliane na wale wanaodai kuwa hakuna Mungu.
Kweli nakwambia😹😹😹 Wewe jamaa mbavu zangu zinaniuma bhana..!!
Ubaya wa hivi vitu ukiviamini tu unakuwa addictedToa na elimu ni kwa namna gani utajua kama umefungwa na haya madude na utajikomboaje😑
ulitaka alete mada ya kichawi mchana wakati kiitifaki uchawi haufanyi kazi mchana! Huu uzi ni wa kichawichawi.Usiku wote huu mkuu du ........
mbona n haipo nyuma ya duUsiku wote huu mkuu du ........
Nyani Ngabu samehe bure utaishi maisha yenye raha na amani duniani.Jaman samahan, kama kuna kukwaruzana, jitahidini kusameheana..
Hata kama hamfahamiani jitahidi kusameheana bandugu.
Ni kazi ngumu sana aisee!
Nimekuja kugundua kuwa watu wanaoamini hayo mambo huwa hawatumii akili.
Ni kama vile wanazima kabisa akili zao.
Dini na uchawi ni mabawa mawili ya ndege mmoja kwa sababu msingi wake mkuu ni imani.
Ila pia nimekuja kugundua kuwa kwenye dini [imani ya mungu] kuna walau kiasi flani cha matumizi ya akili katika kuaminisha uwepo wa mungu.
Huko kwenye uchawi matumizi ya akili hayapo kabisa. Ni mwendo wa ujinga na upumbavu tu. Tena wakati mwingine inaonekana kama vile hao waumini wa uchawi hufanya mashindano ya kujionyesha nani ni mjinga na mpumbavu zaidi.
Kwenye dini kuna intellectuals kibao. Kuna mapadri, maaskofu, wqchungaji, mashehe nk. ambao hutumia akili katika kuendeleza na kuhubiri imani zao.
Ukija kwenye uchawi wala huhitaji kwenda ndani sana. We Angalia tu hata wale watu ambao hudaiwa wamedondoka na ungo.
Kwa muonekano tu wanaonekana kuwa kichwani hamnazo
Waarabu wanapenda sana uchawi wa picha...ndo maana wengi wao kwenye mitandao ya kijamii hawajipost sana hata kuweka sura zao.maana wanajua kinachoweza fanyikaNi mpaka yakukute haya mambo ndio unaweza kukaa chini na kuanza kuyatafakari kwa kina
Ushirikina hauna ithibati za kisayansi LAKINI UPO na unafanya kazi
Ushirikina ni kama moshi.. Upo una uona lakini huwezi kuushika
Ushirikina ni kama akili.. Unayo lakini huwezi kumuonesha yeyote.. Ni matokeo pekee yatakayodhihiridha kama UNA(YO) AKILI AU HUNA...
Msingi mkuu wa ushirikina ni kuharibu hivyo usitegemee lolote jema kwenye hiyo kaliba.. Sana sana labda upate mganga mkweli na wa kweli kukuagua madhila yako
Ushirikina ni vifungo.. Ni vitu vinavyogungamanishwa pamoja kwenye ulimwengu wa macho na kutumia vitu vya kawaida kabisa.. Hata kwenye kutenganisha ni vifungo pia kwakuwa kuna vitu vinafungamanishwa
Washirikina wengi hupenda kutumia maneno haya ya kiimani.. Kilichofungwa duniani na mbinguni kimefungwa...! Mbingu ni kiwakilishi cha ulimwengu wa roho
Yafuatayo ni mapicha mbalimbali ya vifungo vya kishirikina.. Kumbuka
Mtu akitaka kukuumiza kichwa atafungamanisha vitu vyake pamoja na nywele zako
Mtu akitaka kukuumiza mikono hapo ni lazima apate kucha zako na akitaka kukumiza miguu ni aidha soksi au unyayo wako (footprints)
Via vya uzazi ni manii, mkojo au nguo za ndani
Na mwili wote ni picha yako inayotengenezewa kinyago
Vitu kama sindano, nyembe na chupa zilizosagwa hutumika sana kuumiza watu kishirikina..
Hivi unajua ni kwanini mchawi hatumii yai zima bali viza?
chiembe this is for u😀View attachment 3303439View attachment 3303440
miaka sita ni michache sana.Kuna mhanga nilipiga teke makopokopo yake nika mkunja roba kama nusu dakika nikamwambia fanya chochot umbwa wewe akanambia utaona niliyafanya haya miaka sita iliyopita
Anhaaa kwaio niendelee kusubirmiaka sita ni michache sana.
subiri dawa ikuingie.Anhaaa kwaio niendelee kusubir
Ila mi nlitaka anioneshe mapema kuna mambo nataka nifanye
Dawa ipi wakat sjaona chichotsubiri dawa ikuingie.
katavi sehemu gani mkuu?Mambo vp? Bro nyani nakukaribisha kwa Nia njema ukirudi nyumbani Tanzania.
Ntakupa tour ya bureee uje huku sumbawanga najua utachange your mind..
Then utakuja uwape mrejesho shida kubwa ni kua exposure yako ime ruin Mila na desturi za kiafrika.
Karibu Katavi