Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Wamasai Wafurushwe haraka iwezekanavyo...
hii haivumiliki hata kidogo
hii haivumiliki hata kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nilivyomwlewa mimi amedai watoto wanakufa,kwa jinsi hiyo hakuna ongezeko la watu,labda mifugo.Maswali muhimu kujiuliza.
1. Idadi ya watu na mifuko hifadhini inaongezeka au la?
2. Kuna idadi ya watu au mifugo ikifikiwa hifadhi itakuwa hatarini kuharibika au hata kutoweka?
3. Idadi hiyo ikifikiwa nini kifanyike?
Hao waandishi hopeless kabisa wanatoa tu idadi ya masai walioongezeka hawatoi idadi ya wanyama porii walioongezekaMaswali muhimu kujiuliza.
1. Idadi ya watu na mifuko hifadhini inaongezeka au la?
2. Kuna idadi ya watu au mifugo ikifikiwa hifadhi itakuwa hatarini kuharibika au hata kutoweka?
3. Idadi hiyo ikifikiwa nini kifanyike?
Muondoke hifadhini hili linapaswa kuwa lazima sio hiari ,zaidi ya 50% ya ardhi ya Tanzania haijatumika kuna sababu gani ya wamasai kuendelea kubaki hifadhini?Mkimaliza muende na kwa Wahadzabe mkawafurumushe