Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Ngoja madaktari tutoe utetezi kwenye hili DR Mambo Jambo Dr Restart DR HAYA LAND
Mna kipi cha kuongeza hapa. Ila mimi nadhani madaktari walijaribu kurusha vocal wakachemsha πŸ˜ƒπŸ˜ƒ siamini kwamba lugha ndio tatizo
Hata kuchukua number za sim za watoto wa Ki Sudan mmeshindwa, daa mmeliabisha Taifa
 
Kama ingekuwa wanapenda kampani yao wangekuwa karibu nao.... Kingereza kitu hapo sudan kwa kingereza gani basi?
Mlikuwa wakali mkiwaona wanafuata , na Muda mwingine mnakula Kona au kujifungia ofisini.

Yan mlikuwa kama vichaa
 
πŸ˜€πŸ˜€
 

yani hapo issue ni mchele bongo tena hakuna cha bure weka mchele hapo uone ppo zitavoongea hadi kichina hwang chin hong han
 
Inashangaza sana na kuchekesha maana watanzania wape habari kichwa watatafuta wao .

Yaani kweli hao jamaa zangu walishindwa hata kuongea kilugha kwa kuchanganya na kiinglishi ili wasudani waseme Tz doctors wana morphology ngumu sana ?

Njooni na lingine sio hili la leo
 
Haha 🀣, itakuwa wizarani wameifikichia pesa zao,
Ma daktari walivyo na madeni 🀣🀣, watauwana
mwenye huo muda ni nani kwanza watu wana vijiwe vyao mazingira ya kazi magumu mambo ni mengi inshort...yani wao wamewamwaga tu kwamba waende wapewe tu ushirikiano bila kuwapoza wazawa mhh sisi tu tulio kua field bila kujituma mwenyewe unatoka mkavu.
 
Mkuu Hata Sisi tulikataa kabisa ile report, baada ya uchunguzi kufanyika ikabainika wazee English haipandi kabisa.
Japo MD wanadai kuna vitu hawakulipwa
 
shauri: Kiswahili hakina tija Kwa taifa kifutwe mashuleni kabisa.
Kiswahili ni uchafu wa lugha wa kwetu. Tuliema linapokuja suala la international communication, kiingereza hakikwepeki. Rais alishindwa kwenda nje kwa vile kiingereza kilikuwa kinampiga chenga
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£
Nilimisi Kucheka
Huo ndio ukweRiii dokta.

Ukishapata NEUROPATHY au PERIPHERAL NEURAL DAMAGE anakwambia usijali, hizo ni SIDE EFFECTS ZA KAWAIDA. Usijali, relax!!!!!

Miaka ya 2000's wazee wa madawa walituletea SUMU zinazoitwa CHLOROQUINE na QUININE, ukimeza masikio yanakufa kabisa unakuwa KIZIWI!

Lakini madaktari wakawa wanazigawa tu wanakwambia msihofu hizo ni SIDE EFFECTS ZA KAWAIDA TU, relax, hii ni SAYANSI! Hata ukiwa kiziwi haina shida, ni side effects za kawaida tu za KISAYANSII πŸ₯ΊπŸ§πŸ™„

Nyie watu mnatisha! Kila dawa kutoka kiwandani mnaisukumiza kwa wananchi bila kuhoji!
 
Ngoja madaktari tutoe utetezi kwenye hili DR Mambo Jambo Dr Restart DR HAYA LAND
Mna kipi cha kuongeza hapa. Ila mimi nadhani madaktari walijaribu kurusha vocal wakachemsha πŸ˜ƒπŸ˜ƒ siamini kwamba lugha ndio tatizo
Mi nimeshajibu πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜ƒ
Kwenye #200 na #41..

Hapo kuna kitu kingine ila sio Kingereza..

Labda angeniambia Kule Temeke ENT ndo kuna wale maDr wachaga yule dada na jamaa wote Watu wa Marangu wale.."Mchaga na Kingereza wapi na wapi"...πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu kote wamezingua
 
CHLOROQUINE na QUININE, mseto, hizi zote ni biashara za politicians,
 
Kabla ya kusema kiswahili kifutwe, ilitakiwa maoni yasomeke kuwa. Wale waote wanaokuja kusoma kwetu wajifunze mwaka mmoja kiswahili au hata miwili. Mfano hao madaktari wakapangwa wafany kazi hapa tz na wakatupwa huko sonchombwate wataongea nin na wagonjwa???

Achen utumwa wa fikra mbona ukienda china madaktari wao hawajui kizungu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…