Madaktari wa Bongo washindwa kutema yai

Mkuu, mbona hata Kiswahili chenyewe huwa tunaongea "broken" mara nyingi tu?

Kwa mfano, hata wewe kwenye "comment" yako hapo juu, kama si "typing error", basi umekosea:

Tunaferi ❎

Tunafeli βœ…
 
Sio poa.

Madaktari walitakiwa kuongea Kingereza muda wote wa kaziπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Na hapo ndipo utata ulipo

Kuna Ofisi nilifanya kazi miezi 13 hivi, ile Ofisi muda wote wanaongea Kiingereza kasoro Wahudumu tu.

Kusema kweli nilipata tabu sana miezi ya mwanzoni, ila baadaye nikazoea zile Yes/ you know

Changamoto unapotakiwa kuwasilisha taarifa ya kazi ya Mwezi.

Unaenda ku-project pale then unaanza kutiririka na you know you know za kutosha πŸ˜…πŸ™Œ
 
Kwangu Mimi Kiswahili kimechangia kuleta umaskini nchi Tanzania
Niliwahi tembea mikoa mbalimbali sidhani ata kama tunakijua kiswahili vizuri ,sehemu nyingi tu wanapiga kilugha na lafudhi ya kiswahili kibovu tu .

Nchi ya kenya wamenufaika kupitia kiswahili kuliko Tanzania kimataifa na kitaifa .
 
Kusoma MD au degree yoyote Hapa Tz na kujua kuongea kiingereza vizuri ni mambo mawili tofauti

Mfano ukifika chuo kikuu unaweza kukubaliana na hili ,yaani kuwa na degree na kuwa fluent katika kiingereza ni tofauti.
Hii ni Kweli nilikuwa na rafiki yangu msukuma tulikuwa wote chuo kikuu, akaniambia alitegemea akifika chuo ataweza kuongea English, lakini anashanga Yuko chuo na English bado haipandi
 
Kulikuwa na nabii jiwe, pia yule propesa waziri waziri. Kwa hakika walitia fora!
 
Niliwahi tembea mikoa mbalimbali sidhani ata kama tunakijua kiswahili vizuri ,sehemu nyingi tu wanapiga kilugha na lafudhi ya kiswahili kibovu tu .

Nchi ya kenya wamenufaika kupitia kiswahili kuliko Tanzania kimataifa na kitaifa .
Shida inakuja mkenya anaongea English fluently, mbongo SS yes you know
 
Mkuu, mbona hata Kiswahili chenyewe huwa tunaongea "broken" mara nyingi tu?

Kwa mfano, hata wewe kwenye "comment" yako hapo juu, kama si "typing error", basi umekosea:

Tunaferi [emoji735]

Tunafeli [emoji736]
Ata wewe umefeli ,nini maana ya kuongea kiswahili "broken " kwa lugha ya kiswahili,
?
 
Mkuu, mbona hata Kiswahili chenyewe huwa tunaongea "broken" mara nyingi tu?

Kwa mfano, hata wewe kwenye "comment" yako hapo juu, kama si "typing error", basi umekosea:

Tunaferi ❎

Tunafeli βœ…
Yeah ni kweli

Japo comfortability tunaipata tukiwa tunaongea Kiswahili zaidi

Miaka fulani nilikuwa Kiranja wa darasa letu la kidato cha 5, kutokana na changamoto ya kupigiana kelele darasani nikawaambia wenzangu pigeni kelele Kwa Kiingereza otherwise naandika Majina ya wapiga kelele

Kwani Kuna waliopiga Kelele basi πŸ˜…
 
Nasikia vilikua vijuaji balaa
 
Nchi za nje, unapewa mwaka mmoja wa lugha, hapa tumewapa kipindi gani?
Yes dkt hapimwi kwa lugha, but kuna scenarios unafanya kazi na dkts wa nje? Unadhani universal language ni ipi? English. Am sorry dunia imechange sana, hata wenzetu wana lugha zao, but wana kuwa recommended kufaham zaidi ya lugha moja, miaka ya kukarir only single language inaisha
 
Ila ata wakenya japo kwenye kiswahili wana broken nyingi ila wana misamiati mingi sahihi kwenye kiswahili ambayo sisi hatuijui kabisa.
Kiswahili chetu Ni Kile cha mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…