TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kwa kauli hizi lazima wewe utakuwa ulikuwa unaingia na majuche, simbi, ama desa kwenye chumba cha mtihani. Aliyefaulu bila vikwazo hawezi kudharau fani ya mwingine...!.... unafikiri kusoma medicine ni kama kusoma human resource , lazima serikali iweke motivation watu wasome hizo kozi nakuhakikishia watu watasoma na madegree yao watakaa na vyeti Gheto alaff watafte ajira mbadala
Hapana njiwa, wacha iwe kweli ili watanzania wote waisome namba vyema. Na ili wajue ccm ni ile ilee..Magu amuulize mkapa, na JK walipogoma interns hali ilikuwaje?! Intern doctors ndio wanaendesha hospitali hizo... Walileta madactari wao wa jeshi hawakutosha... Watangulizi wake walishindwa labda yeye ataweza ..
Naomba ibaki tetesi tu!
Ulitaka wazitumie wapi? Na vipi wanashindwa kutekeleza majukumu yao kwa sababu ya matumizi yao hao?Hongera mkuu wa Kaya kwa maamuzi sahihi,hawa madaktari wanafunzi wanapewa fedha zisizo na idadi na wanazifuja kwa wanawake na starehe zisizo na tija kwa taifa
tutaenda hata private... hakuna shida!Sema tutaisoma namba maana sisi ndo wateja wao namaanisha wagonjwa
Kwa taarifa yako, intern drs hufanya kazi ktk hospital kubwa (kuanzia referals) zikijumuisha hizo private.tutaenda hata private... hakuna shida!
Motivation ina kuwa down!!!Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.
Taarifa kutoka chanzo ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!
naam taaluma hii itakosa watu kabisa na wale waliopo watakimbilia nje au private. na hapo si kuwa watanzania tumeacha kuumwa!. japo inawezekana kwa selekali hii, sidhani kama habari ya kweli!Alafu naskia hata mishahara ya madaktari waliopo kazini imepunguzwa. Huenda siku zijazo watu wakaanza kukimbia hii taaluma.
Haya mambo eti ya kubana matumizi yatatufikisha pabaya. Mwenyezimungu apishe mbalinaam taaluma hii itakosa watu kabisa na wale waliopo watakimbilia nje au private. na hapo si kuwa watanzania tumeacha kuumwa!. japo inawezekana kwa selekali hii, sidhani kama habari ya kweli!