Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

Madam Ritha achukia vijana kumtongoza

Kwa hivyo alivyovaa lazima vijana wamfuate.

Sasa kwa watu wasima sidhani kama wapo ambao watakua na muda wa kushauriana na mtu anayevaa vikaputula vya jinsi vilivyokatwa.

Kundi kubwa la wale ambao anasema hawana pa kukaa pigo zao ndio kama hizo kwahiyo asishangae sana kupata anaoendeana nao.
Vijana we hovyo watamfata
 
Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza.

View attachment 2875628

"Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata pakukaa. Siwezi kusema kama nimempata au laah hilo haliwahusu lakini nimegundua vijana wa sasa hivi hawana heshima kabisa".

"mimi nataka mwanaume mtu mzima ambaye tutashauriana tukaelewana na sio hawa vijana ambao wengine hata pakuishi hawana"- Madam Ritha

Nini maoni yako?
Ukifungua dirisha upate upepo tegemea na nzi, mbu, vumbi navyo kuingia
 
Umri huo unatangaza mitandaon unatafuta mchumba..?? Labda watakufuata sababu ya ustars na vijisent tofaut na hapo labuda ujue kakatika ila ukitoa hivyo hakuna mwanaume mwenye kujielewa atakufuata akuoe ukweli usemwe muulize wemaa mkiambiwa wanawake una muda maalumu wa kuolewa hamuelewi, mwanamke ukisha fika 30 ni mbibi tayar we omba dua itokee zali la mental
 
Madam Ritha amechukizwa na tabia ya vijana wadogo kumtongoza.

View attachment 2875628

"Baada ya lile tangazo la kutafuta mpenzi vijana wengi wamenifata sana DM wengine ni watoto wadogo nikiwaangalia hawana hata pakukaa. Siwezi kusema kama nimempata au laah hilo haliwahusu lakini nimegundua vijana wa sasa hivi hawana heshima kabisa".

"mimi nataka mwanaume mtu mzima ambaye tutashauriana tukaelewana na sio hawa vijana ambao wengine hata pakuishi hawana"- Madam Ritha

Nini maoni yako?
Aisee kumbeee.....kwa hiyo yeye hataki vijana wampakie mkongo🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom