mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Vijana we hovyo watamfataKwa hivyo alivyovaa lazima vijana wamfuate.
Sasa kwa watu wasima sidhani kama wapo ambao watakua na muda wa kushauriana na mtu anayevaa vikaputula vya jinsi vilivyokatwa.
Kundi kubwa la wale ambao anasema hawana pa kukaa pigo zao ndio kama hizo kwahiyo asishangae sana kupata anaoendeana nao.