Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

Unamjua mleta mada ni nani au umekurupuka na chai hujanywa mbio JF hujui hata unampinga nani!!?
 
Madaraka alikuwa mwanasiasa wa nchi ipi katika africa Mashariki jamani ๐Ÿ™†๐Ÿพ. Katika hili nakiri sijawahi msikia ila Makongoro nilishamsikia upinzani zama zile kisha sijui amejikuta nani siku hizi but huyu Madaraka kwa kweli nahisi labda alikuwa mwanasiasa wa kimoyo moyoni ๐Ÿ˜œ
 
Sasa huoni aibu miaka khamsini na ushee ya uhuru bado unajivunia kuwa mnyonge na chama kilichokufanya kuwamnyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ