Naona mnahangaika Sana na Madaraka Nyerere mnataka kutuaminisha kwamba Madaraka ni Kamanda Mwenzenu, kifupi tu haya maigizo sio ya Kwanza kwa Chadema kutaka kutuaminisha CCM imechokwa na Watanzania wengi ikiwemo familia ya Baba wa Taifa, Nakumbuka Mwaka 1995 Makongoro Nyerere alikuwa upinzani wakati huo Baba wa Taifa hajatuacha lkn Chama Cha Mapinduzi kiliendeleakushika hatamu.
Tafuteni Kiki nyingine acheni kutuletea story za level ya Shule ya Msingi, Watanzania tuliowengi hasa Wanyonge kwa sasa tunakihitaji Chama cha Mapinduzi kutuletea Maendeleo ya kweli sambamba na kutuondolea fikra za Kibeberu.