mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mkuu unanikumbusha waakina Ali Moja na timu yenu ya Ufipa ya Ajax.
dah kweli ali one singo ila sahv mkulimaa mkubwa tu alishatoka kwenye game.....timu ya ajax iliwa moto...ombea ikutana ajax na msebenze ilikuwa balaaa wakati ule ndondo ndondo kweli syo sahv wakina mbwiga wanajifanya wanajuaa ndondo hahahaha...

