ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #201
Ndio maana nikasema shida sio kudaiwa ila unadaiwa na naniHatari sana kudaiwa uswahilini halafu unakuwa na mdomomdomo kwa anayedai.Utadhalilika.Hongera wenye mikopo/madeni wanayoyachungulia kwenye salary slips na hakuna ajuaye.
Ingawa hata madeni/mikopo ya taasisi mkizinguana huleta rabsha vilevile.Ndio maana nikasema shida sio kudaiwa ila unadaiwa na nani
Hapo ndio kazi iko hapo
Na hawa hawachekeshi wanakupiga panapoumaIngawa hata madeni/mikopo ya taasisi mkizinguana huleta rabsha vilevile.
Afadhali ya taasisi kubwa/benki tambulika wanafuata miongozo na maadili.Kuna vile vikausha damu vinatuma mabaunsa wakung'unte mangumi wadaiwa.Kuna wadaiwa wameshawahi kupoteza maisha.Na hawa hawachekeshi wanakupiga panapouma
Kajaribu kukopa utajifunza kitu.Inatakiwa kwanza ujue Kati ya Mkopo na Deni.
Mkopo nikile unachopewa baada ya makubaliana maalumu mfano Riba na mkopeshaji.
Deni linakuja baada ya kushindwa kulipa mkopo hii ndio mbaya.
Mimi nadhani Deni ndio linaleta fedhea ila kuhusu mkopo sioni kama ni kitu kibaya kama unaweza kuutumia vizuri kuongeza wigo wa mambo yako ya msingi kama biashara
Aah sikuwahi kufahamu kama hao kausha damu ni hatari kiasi hicho uwiiiiiiiiiAfadhali ya taasisi kubwa/benki tambulika wanafuata miongozo na maadili.Kuna vile vikausha damu vinatuma mabaunsa wakung'unte mangumi wadaiwa.Kuna wadaiwa wameshawahi kupoteza maisha.
Kwani unsishi wapi hapa Kenya?Malagor au Taita taveta?Aah sikuwahi kufahamu kama hao kausha damu ni hatari kiasi hicho uwiiiiiiiii
Eti wanakung'uta mangumi πAfadhali ya taasisi kubwa/benki tambulika wanafuata miongozo na maadili.Kuna vile vikausha damu vinatuma mabaunsa wakung'unte mangumi wadaiwa.Kuna wadaiwa wameshawahi kupoteza maisha.
Ulidhani nakuongopea wa wa kwetu ,huko ukikopa tayari umetangaza vita na uhakikishe unaweza kupambana haswa kupigwa viboko mbele ya mmeo na mkeo ni kawaida kwa madai ya umeleta jeuriAah sikuwahi kufahamu kama hao kausha damu ni hatari kiasi hicho uwiiiiiiiii
Nipo hapa hapa ila sijawahi kusikia mkasa wa mtu ku uawa na baunsa wa kausha damuKwani unsishi wapi hapa Kenya?Malagor au Taita taveta?
Mwili wangu unavyoumwa hata nikijikwaa aisee sitaki hata kufinywaUlidhani nakuongopea wa wa kwetu ,huko ukikopa tayari umetangaza vita na uhakikishe unaweza kupambana haswa kupigwa viboko mbele ya mmeo na mkeo ni kawaida kwa madai ya umeleta jeuri
Mara si punde;TANZIA!Nini?@moise kakoyongwa mangumi na mabaunsa wa kausha-blood hadi kakata moto kwa kushindwa kurejesha "alfu salasini na tisa"!ππππEti wanakung'uta mangumi π
Na hii imepelekea microfinance zote ukienda kukopa lazima wakuulize umeajiriwa ukisema ndiyo ,raha yao useme wewe ni mwalimu ,mtendaji na wengineo wanyonge wa mama ila ukiwaambia mimi sijui askari gani ,sijui askari pori ,mara askari barabara ,au sijui askari mipaka umeshakosa hela maana wanajua hawawezi kuja kukudunda kienyeji kama kwa hao wanyonge wa bi mkubwa
Kama ni mlipaji mzuri huwezi kuona fujo zao hata kidogo ila ukianza viswahili hapo wataanza kukuundia kamati ili wakunyolosheMwili wangu unavyoumwa hata nikijikwaa aisee sitaki hata kufinywa
Hiyo mikopo hainifai
Haifurahishi ila hayo mambo yameshatokea.Fuatilia taarifa zao.Nipo hapa hapa ila sijawahi kusikia mkasa wa mtu ku uawa na baunsa wa kausha damu
We jamaa nimecheka mpka machozi πππMara si punde;TANZIA!Nini?@moise kakoyongwa mangumi na mabaunsa wa kausha-blood hadi kakata moto kwa kushindwa kurejesha "alfu salasini na tisa"!ππππ
Kuna kukwama ujue hakuna anaependa kudaiwaKama ni mlipaji mzuri huwezi kuona fujo zao hata kidogo ila ukianza viswahili hapo wataanza kukuundia kamati ili wakunyoloshe
Rafiki yangu mmoja ni ticha wa primary alikopa laki .ila mambo yakamwendea kombo ikabidi asubiri mshahara kuwalipa .Mara si punde;TANZIA!Nini?@moise kakoyongwa mangumi na mabaunsa wa kausha-blood hadi kakata moto kwa kushindwa kurejesha "alfu salasini na tisa"!ππππ
Tunacheka tu ila inaumiza roho mnoo!Si vema wala haki kabisa.We jamaa nimecheka mpka machozi πππ
Umasikini una dhalilisha ya Rabbπ₯ΉHaifurahishi ila hayo mambo yameshatokea.Fuatilia taarifa zao.
Kwakweli si haki dahTunacheka tu ila inaumiza roho mnoo!Si vema wala haki kabisa.