Madeni: Je, umewahi kudaiwa mpaka ukajuta kwanini ulikopa?

Hubadili njia na kilakitu kinakuwa fresh.
 
Na Vimeo mpaka nikijiangalia sura kwenye kioo naiona imepauka halafu imekuwa kama mkamusi.Na vyote vinategemea mshahara wa mwezi huu.Ni kubaya aisee😀😀😀
 
Mjukuu umewahi kopeshwa na airtel wewe? Wana masimangooo🤣🤣🤣
Ukipiga simu tu kabla haijaita unakumbushwa deni lako🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…