ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #161
Umempata shost dada angu mume wake alienda SA dada sijui ilikuaje akatumia 800k bila kumshirikisha akijua atairudishaYe ndio microfinance yangu atafanyaje sasa😂😂,. Asiponidai namlipa ila akijifanya kukumbusha kumbusha ndio inakula kwake😂
Aiseee miaka 17 si watakua wamesamehe tenaPesa nayodaiwa kwa kukadiria ni kama milioni ishirini na nane madeni yana miaka kama kumi na saba hivi ila InshaAllah nitawalipa wanaonidai.
Et awe mvumilivu dahNitampa ila kidokidogo sana awe tu mvumilivu
Uzuri Mie huwa namuomba anikopeshe na ananipa mwenyewe,.Umempata shost dada angu mume wake alienda SA dada sijui ilikuaje akatumia 800k bila kumshirikisha akijua atairudisha
Shemeji si akasema anarudi 😀
na hapo dada kajikopa kama leo
Aisee alikua na presha maana mwanaume hataki mchezo na hela yake kabisa🤣🤣🤣
Na alivyofika akakuta ipo 500k aliongea sana imagine angekuta 800k yote imepungu sipati picha
Exactly dear kuomba na kupewa na muhusika sio sawa na kujichukilia tuUzuri Mie huwa namuomba anikopeshe na ananipa mwenyewe,.
Hiyo ya kujichukulia bila taarifa ni mbaya... Huwezi jua mtu keshaipigia hesabu zake lazima awe mkali
Stress lazima apate,.Exactly dear kuomba na kupewa na muhusika sio sawa na kujichukilia tu
Ila tulikoma aisee maana alituambukiza na sisi stress zake😅
Una experience wa kwetu?🤣🤣Kama unakopesha ukipata muda wakopeshe walimu na watendaji wa vijiji na kata na wale ma clinical wa vijijini wanaojiiita MaMD nadhani utarudi kusema kuwa kuna watu hawaogopi deni na ukicheza vibaya anakufungulia kesi ya unyanyasaji .
Naomba mkopo😎Kwa leo sitaki kuzungumza lolote kuhusu mapot ila mbingu hawaioni ng'o
🤣🤣🤣🤣🤣,jamani mkaka wa watu Hana maneno, ye anasema nipe tu🤣🤣🙌Au Tu unapiga hesabu unahakikisha deni linabaki dogo😂😂,. Juzi kwenye 4.8m+ alijikuta anapewa af30 ilaa🙌🙌😂😂View attachment 3630978
Ndio ameshaoa tapeli atafanyaje sasa😂😂🙌,.🤣🤣🤣🤣🤣,jamani mkaka wa watu Hana maneno, ye anasema nipe tu🤣🤣🙌
Ilikua 800k so hapo akapambana ndio kupata hiyo 500kStress lazima apate,.
Laki3 ya haraka haraka unaipata wapi mtu amekustukiza😂
Hahahahhaah, mtoto wa watu alivyo mpole,Wewe tena 😅😅
Nina experience kubwa na hayo mambo japo kudai sijui ila uwoga na deni sina ukija kunidai kuwa mnyenyekevu ukija vibaya basi umeumia .Una experience wa kwetu?🤣🤣
Naomba mkopo😎
Daaah,mpole...,huyu unamkopa kidogo kidogo🤣Ndio ameshaoa tapeli atafanyaje sasa😂😂🙌,.
Sema nilivyopata nilimpunguzia kama 25% hivi
Nishamwambia na ukweli anaujua basi anajua ukiwa posta una hela, toka jpl ananipgia mpk leo anasema tumaini langu ni wewe nkamjbu okay ko jion hii atanichek tuuMwambie ukweli tu asiwe na matumaini
Acha ubabe shenziiNina experience kubwa na hayo mambo japo kudai sijui ila uwoga na deni sina ukija kunidai kuwa mnyenyekevu ukija vibaya basi umeumia .
Nakumbuka ile story lol 🤣🤣Ni zamani wa kwetu ,sasa cha mtu sikopi sababu sipendi kusumbuana ila niliwahi kopa hela huko kijijini nilikokusimulia kuwa niweahi kuwa meneja wa msanii ili nvune kahawa yakatokea manjegeka ,walinisumbua ila ubabe ukaniokoq na wale wanakijiji wa CPU bila hivyo wangenitangaza nchi nzima walevi wenzangu wale
Sasa tumekopeshana hela vilabuni ,wewe unakuja kunidai nyumbani kwangu si dharau hizo na simu zangu unazo ,hapana unakuwa umenidharau sana .Acha ubabe shenzii
Nakumbuka ile story lol 🤣🤣
Ila meneja hapana wewe dah😆
Mtu mpka anakuambia hivyo ujue kwakwama na tumaini lingine hanaNishamwambia na ukweli anaujua basi anajua ukiwa posta una hela, toka jpl ananipgia mpk leo anasema tumaini langu ni wewe nkamjbu okay ko jion hii atanichek tuu
Ila weweDaaah,mpole...,huyu unamkopa kidogo kidogo🤣