bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Dakika kumi huwezi kula hotel na watoto zaidi ya kuachwa na basi beba chakula kupunguza gharama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni kutaka kila kitu serikali itatue. Biashara huria, ukiona basi linakupeleka sehemu ya ghali, badilisha basi; ikishindikana badilisha usafiri; ikishindikana badilisha utaratibu wa ulaji.• kwa nini tuishi kwa biscuit na juice, mamlaka zinakazi gani,?
• Hapa tunazungumzia Abiria kuwa huru wakati wa safari, mbona tren inahuduma zuri angalau, na inasimama kwenye vituo vya kawaida kabisa.
Iambie serikali ndio ijenge hizo sehemu za kula watu masikini inawezekana kama inaweza Jenga stend haishindwi.
Hizo hotel wamewekeza pesa nyingi na kila dereva na makonda wanakula Bure.
Cha msingi beba chakula chako.
Njiani sio sehemu za kula kula,kale kwako.
Kwani ukiwa safarini, na ukiwa kwako njaa huwa zinauma tofauti?Njiani sio sehemu za kula kula,kale kwako.
Siyo kwamba serikali ijenge hotels za maskini, kwani utaratibu wa zamani ilikuwaje, au mwenzetu ndo umezaliwa 2022?Iambie serikali ndio ijenge hizo sehemu za kula watu masikini inawezekana kama inaweza Jenga stend haishindwi.
Huu ndo ujinga wa mtu Mweusi sasa, mjengo amejenga vizuri, lakini vyakula anauza vibichi, vimechacha,Hizo hotel wamewekeza pesa nyingi na kila dereva na makonda wanakula Bure.
Zamani sio sasa,Sasa ni ushindani,Kwani ukiwa safarini, na ukiwa kwako njaa huwa zinauma tofauti?
Siyo kwamba serikali ijenge hotels za maskini, kwani utaratibu wa zamani ilikuwaje, au mwenzetu ndo umezaliwa 2022?
Huu ndo ujinga wa mtu Mweusi sasa, mjengo amejenga vizuri, lakini vyakula anauza vibichi, vimechacha,
Shida ni kutaka kila kitu serikali itatue. Biashara huria, ukiona basi linakupeleka sehemu ya ghali, badilisha basi; ikishindikana badilisha usafiri; ikishindikana badilisha utaratibu wa ulaji.
Utabadilishaje gari, wakati magari yote yaendayo Mikoani inafanya huo upuuzi!ukiona basi linakupeleka sehemu ya ghali, badilisha basi
Usafiri upi, Ndege? Kama chakula tu shida hizo garama za choppa anatoa wapi?ikishindikana badilisha usafiri;
Hata hivyo vya bei matumbo yanavuruga kama kawaida. Silagi njiani labda nitakapo kuwa na familia hasa watoto wa kike wakiume nitakomaa nao.Tafuta tuu hiyo afu nane, watu wameshalamika sana, ila ukumbuke cheap is expensive... Utauziwa afu tatu kilomita mbili nyingi tumbo linaanza kuvuruga
Mimi nilikuwa nachinjwa kuku nakaanga Ile alfajiri Yani naenjoyy njia nzima had nafika dar usiku sana naweza nikawa nimetumia buku 2 kwaajili ya maji😀😀😀😀😀😀, Ndo maana mimi huwa naamua kutembea na hotpot kabisa.
Ndo maana nasema, Vyakula vipo chini ya kiwango, lakini bei inakuwa siyo rafiki kabisa,.Vyakula vingi vya njiani ni sub standard huwa nashangaa watu kula hovyo njiani utadhani wanasafiri kufanya utalii WA kula,kale kwenu
Kula ovyo ovyo kiaje, kwa hiyo mkuu unaweza safiri masaa 14 bila kula chochote?nashangaa watu kula hovyo njiani utadhani wanasafiri kufanya utalii WA kula
Kama hakuna parking? au mwenye hotel hataki kutoa cha juu kwa dereva na sahani 1 ya bure unadhani dereva atasimama hapo?Upo sahihi kabisa mkuu, lakini Madereva wastulazimishe tukale sehemu fulani.. Basi lisimame sehemu ambayo kila mtu awe na uhuru wa huduma.
Hotel za ajabu ajabu na mpya ndio ambazo zina maslahi mazuri kwa dereva na konda. Nyie mkienda kupigwa jua dereva yeye anakunja 20K yake na anakula sahani moja bureDah niliudhika sana Ally's kutoka Dar-kwenda Mwanza...badala ya kupaki dodoma mjini kwenye hotel/migahawa mizuri .wameenda kulipaki basi karibu na bahi...vyakula vimepoa na vibaya kinoma.
Ok kutoka hapo ineenda kusimama tena nje ya mji wa Singida..chakula kibaya na bei kubwa vile vile..
🤣🤣NYAMA NNYINGI N ZA MBWA NA PAKA MKUU OGOPA SANAA USINJKUMBUSHEE
😄😄, Ulikuwa unakula kuku tu, au na ugali pembeni?Mimi nilikuwa nachinjwa kuku nakaanga Ile alfajiri Yani naenjoyy njia nzima had nafika dar usiku sana naweza nikawa nimetumia buku 2 kwaajili ya maji😀😀😀
Usichokikumbuka ni kuwa kipindi cha uchaguzi hela inamwagwa kwa maskini huko kuwapumbaza pamoja na hizo kofia na tsheti.• Chazo cha maisha magumu kipo hapa ✍️.
• uchaguzi ukifika huwa tunasahau kabisa shida zote, tunabaki kuhongwa kofia tu.
Kweli, hapa itapendeza zaidi,Mimi nachangia tu kuwa
Zile hoteli wanazopaki ni safi, na huduma nyingine za kijamii ni nzuri (Usafi umeboreshwa)
Pendekezo; waweke pia vyakula vya watu wa kawaida
mfano: Wali maharage au wali mboga mboga, maandazi ya 500, chapati, Chips kavu za buku au pengine
Mihogo/viazi vya kukaanga vya 500/buku nk nk
Asante 🤝J4 sa kumi na ijumaa mida hiyo first 50 second 45 haifiki.
First mtu 2 tu,second km una watoto familia ni vitanda vi4.
Huna utakutana na majirani humo ndani mnagawana vitanda.
Hiyo safari ni bonge la adventure,unalala unapotaka,kinywaji mda wowote,chakula kipo ukitaka unawapitia 3rd class kusalimia utawakuta mle km magunia ya viazi wanaenda kapiri mposhi.
Njiani hapo ukitoka mlimba mbele mlimani udzungwa pale ndio utajua kwamba kuna sehemu tuko vizuri.
Treni inaenda speed ndogo sana kupanda juu kule,sasa ukichungulia chini unaweza kuruka kwa woga.
Ni midaraja mikubwa na matreni yaliyodondoka ya mizigo yapo.
Cha ajabu mbele kidogo kuna wanakijiji wanakaa milimani,utaona vijumba vyao kule juu baada ya hiyo shughuli baas treni utaipenda.
Inakamata mteremko na tambarare.
Hapo utaskia honi tu.
Hiyo view sasa huku nje.
Jaribu one day utashukuru.