Madhara jumuishi kuwa na mahusiano sehemu za kazi.. Ofisi moja

Ngoja nijaribu kukuletea Mjukuu wangu mmoja wa kike nione kama utatoboa

Uliiona ile PisiKali ya Lugumi, ndiyo sampuli ya Mjukuu wangu nitakayemleta 😜
mzee wewe leta tu, ila niki mtimua usi shangae.

huwa nina msemo, everyone is replaceable. So ni aidha upige kazi, au urudi kijiweni uka wapelekee wanunuzi😆
 
Sio imagine we Bwana uliwalaa nao walipeleka taarifa za uongo 😂😂😂
Hahaha...........sikuwahi

Miaka hii, kuna njia nyingi wanaweza kuzitumia kukusanya ushahidi iwapo utawekewa mtego wa Kulala na Mwanamke yeyote

Kuanzia meseji,picha, video n.k

Kwahiyo hizi teknolojia zinatumika barabara katika kuwakamata target wengi
 
Mimi alipojaa tu kwenye mfumo akaanza kuchelewa kazini na ku dogde bila sababu za msingi.. Na mimi ndio nilikuwa nasimamia nidhamu.. Hakuna rangi niliacha kuona🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Wewe ndo ulijaa kwenye mfumo wakw
 
Mimi alipojaa tu kwenye mfumo akaanza kuchelewa kazini na ku dogde bila sababu za msingi.. Na mimi ndio nilikuwa nasimamia nidhamu.. Hakuna rangi niliacha kuona🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Hukupeleka jina lake kilingeni wamtengeneze 🤣🤣🤣🍆🍆
 
Atalala kwenye nyumba za wasafiri. Huwezi jua
Ndiyo mwanzo wa kufa haraka

Umewahi kuona Mzee masikini anavyosimangwa?

Umewahi kuona Mzee yupi anaitwa mchawi kati ya Mzee Tajiri na Mzee masikini?

Vijana wakilijua hili, wataongeza nia na bidii kwenye kuandaa kesho yao sasa
 
💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…