Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Yaani kiufupi utaishia kula kwa macho. Huku ukijilia puli. Demu wako atakuwa sabuni na mafuta πππNakubaliana na wewe kwa asilimia mia kamanda wa kikosi cha ardhini,bila uongo,wewe na sabuni mtakua kama ulimi na mateπ π π
π
Hapo mzani una balance
Unakuta picha za mtandaoni zimeeditiwa na zina filter. Nywele ni wigi, kope ni za bandia, hapo kapaka yale madongo dongo wanayaita faundesheni na mekapu, hapo anapaka vipodozi na malotion ya kujaza kirikuu, tumbo kalibana na mkanda ili aoekane ana flat tummy, ili aonekane ana tako kubwa na wengine wanavaa vigodoro, wengine wanakunywa dawa kuboost shape, wengine wanaenda uturuki kuweka shepu bandia. Yaani kiufupi ni uongouongo tu π
πππππππ
Wanawake ni waongo zaidi inapokuja ishu ya kutongozana
Kwa sasa hivu ukiwa mkweli huwezi kupata zile top layer, uongo unasaidia sana, ukashapata unachokitaka ata akijua atajijuWatu hawajuagi tu, wanaambizana mwanamke bila kumdanganya humpati asa yote hayo ya nini unamdanganya mtu una hela kumbe mwenzangu na mie mwisho wa siku uje kuumbuka. Ukweli humuweka mtu huru siku zote. Na ukiona umemuambia ukwel mwanamke kachomoa ujue kabisa sio fungu lako usilazimishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mna dhambi sana.Kwa sasa hivu ukiwa mkweli huwezi kupata zile top layer, uongo unasaidia sana, ukashapata unachokitaka ata akijua atajiju
Akili zao fupi ngoja tuendelee kuwadanganya BIla kudanganywa hutawahi onja mbususu.Wanawake hawatabiliki,
Kuna jamaa mmoja alijifanya ni mfanya usafi wa bungeni while ni mbunge, akawa anadate na mdada mmoja wa nmb ya pale Bunge
Siku Yule dem amekuja kujua jamaa sio mfanya usafi ila ni Mbunge alimpiga chini tena mbele za watu
Kibao kimegeuka πππππ
Wengine wanajifanya ni wasichana wa matawi ya juu kweli kweli wakati kwao shida tupu.
Wengine wanajifanya watu wa dini kwelikweli. Kumbe wanadanga kimyakimya kwa usiri wa hali ya juu.
Wengine wanajifanya mabikra wa mchongo halafu wana masharti " no sex, until marriage"
Ni uongo uongo tu. πππ
Kiufupi ni uongouongo tu πππKibao kimegeuka ππ
Pole chief...Uongo ndo umeweka ndoa yangu kwenye mapito mabaya
Kipindi bado na mtongoza mke wangu nilimdanganya mambo mengi ambayo nilikuwa sina nikadanganya ninayo tulivyo kuja kuoana mke wangu alijua ukweli
Kila siku ni vurugo dah [emoji24][emoji24][emoji24]
Aah kama mtu akakupenda jinsi ulivyo hatojali ni jobless or not, so inawezekana kabisa ukamwambia ukweli na akakupenda kama ni pesa mtatafuta wote.
πππKuna mshkaji wangu alkua anaazima gari yangu kila anavoenda kwa demu wake
Kumbe kule anasema gari ni yake na mimi ndio ninaazima kwake.
Basi siku moja yule dada alikua ana emergency anahitaji gari, akamuazima jamaa (hamaa hakumpa majibu ya kueleweka)
Mdada akaja kwangu straight akasema amekuja kuchkua gari yao
Ilibidi nianze kucheka kwanza[emoji23][emoji23]
Uongo ndo umeweka ndoa yangu kwenye mapito mabaya
Kipindi bado na mtongoza mke wangu nilimdanganya mambo mengi ambayo nilikuwa sina nikadanganya ninayo tulivyo kuja kuoana mke wangu alijua ukweli
Kila siku ni vurugo dah [emoji24][emoji24][emoji24]
PointBora kusema uongo.Samson alovyomwambia ukweli Delilah akakutana na kitu kizito kichwani