Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza

Bwana wee tena wao waongo kuliko sie. Utasikia mie siwezi date na mwanaume zaidi ya mmoja at once...nyoooo wanatupanga kinoma hawa shezy type!
 
Bwana wee tena wao waongo kuliko sie. Utasikia mie siwezi date na mwanaume zaidi ya mmoja at once...nyoooo wanatupanga kinoma hawa shezy type!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ni uongouongo tu.

Ogopa sana binti hana kazi yoyote ila ana vitu vya gharama. Una kuta ana original latest iPhone ya 3m+. Yaani huyo lazima awe mdangaji halafu muongomuongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aah kama mtu akakupenda jinsi ulivyo hatojali ni jobless or not, so inawezekana kabisa ukamwambia ukweli na akakupenda kama ni pesa mtatafuta wote.
Kwa wanawake waki Bongo ataweza kuvumilia maneno kutoka kwa rafiki zake ? Akiwaona wana maisha mazuri kupitia wapenzi wao.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaani ni uongouongo tu.

Ogopa sana binti hana kazi yoyote ila ana vitu vya gharama. Una kuta ana original latest iPhone ya 3m+. Yaani huyo lazima awe mdangaji halafu muongomuongo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa ni kuwadanganya tuu shetani mwenyewe alimwingia hawa kwa style ya uwongo.
 
Uongo ndo umeweka ndoa yangu kwenye mapito mabaya
Kipindi bado na mtongoza mke wangu nilimdanganya mambo mengi ambayo nilikuwa sina nikadanganya ninayo tulivyo kuja kuoana mke wangu alijua ukweli
Kila siku ni vurugo dah [emoji24][emoji24][emoji24]
Hana upendo huyo sasa alifata ivyo vitu wa wewe
 
Aah kama mtu akakupenda jinsi ulivyo hatojali ni jobless or not, so inawezekana kabisa ukamwambia ukweli na akakupenda kama ni pesa mtatafuta wote.
Nyookooo. Msilete ujinga wenu hapa eti mwanamke akakuoenda huna hela. Kila leo mnatufurumusha pm huko kwa vibomu vyenu🀣🀣🀣🀣
 
Na kuna kitu wanaume wengi hatujui

Wakati wa kutongoza wanawake ndio wanakuwa waongo zaidi,

Wanafake kila kitu,

Kula, kuongea everything ni fake,

Akipokea simu anakwambia sorry napokea simu ha ha ha fake fake
Eti hawezi maliza chips yai
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chai boss akifukuze kazi kisa demu
 
Chai boss akifukuze kazi kisa demu
Dogo yupo anachunga mbuzi. Mengine siwezi kuelezea kwa kina. Unaweza kuta bosi mwenye gari yupo humu jf ikawa msala zaidi πŸ˜‚πŸ˜‚. Maana bosi mwenye gari alifokewa mno na ile pisi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…