Madhara ya kuoa Mwanamke ambaye hajasoma na Golikipa ni haya!

Unafaham ni kitu gani kilipelekea familia ya Nuhu peke yake kuokoka kwenye gharika? Je ilikuwa elimu ya darasani au elimu ya kiroho ambayo ilifanya awe na uhusiano mzuri na Mungu?

Imani na elimu yake.
Pasipo kuwa na elimu ya kutengeneza hiyo Safina Nuhu asingeokoka
 
Wanawake hawawezi kutunza Mwanaume yoyote.

Sikiliza stori zao, vitimbwi vyao na hulka zao.

We mtibeli uliyekengeuka Mwanamke ahitaji Mwanaume wa kuongea huruma.

Siku ukifa au Ukiumwa ndio utajua kama Mkeo anaweza kukutunza au hawezi.
Mimi nawajua wanawake wanaotunza Waume zao.
 
hapo kwenye kugawa uroda hapana,,,,,,,,.............kwa sasa hakuna wanawake wanaogawa uroda ovyo na kirahisi kama hawa wanachuo,,,,,ndo maana hata malaya wanaokuaga karibu na miji yenye vyuo wanapendaga kujiiita wanachuo...........kwa sasa ukioa mwanamke aliepitia chuo uwezekano wa milage kusoma km nyingi ni mkubwa kuliko kuoa hawa form 4 au la saba
 
Ipo heshima Mwanamke mwenyewe na ipo heshima ya Mwanamke anayoipata kwa Mumewe.
Halikadhalika na sisi wanaume, ipo heshima yako binafsi na ipo heshima utakayoipata kutokana na Mkeo.
sawa mkuu watu wa moro town huwa mkisimamia jambo, huwa hivyo nyie 3 kuigeuza E kawaida mi nalia na kichwa cha mada ambapo wengi wanajibu bila kuelewa swali na wamekuja elewa maelezo hebu
 
Oa KOCHA UONEE
 
Ungeweka madhara ya kuoa mwanamke jobless na maskini.

Sina hoja nzito ya kubisha ila, ulichosema siyo wakati wote iko hivyo. Ila ungesema jobless na maskini πŸ‘.

Je, unajua kuwa siyo kila mwenye kazi anayo elimu? Walimu, manesi na wote uliowataja wengi ni weupe kichwani.

Mfano wanawake wanajeshi (jeshi lolote tz), ipo wazi wengi hamuna elimu lakini kazi inawafanya wawe na thamani na siyo elimu.
 
nawaonaga wale wanawake wasomi wa nyuo vikuu wakijiuza na kuliwa kirahis kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] daaah
 


Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…