Aisee nielekeze nami jinsi ya ku highlight baadhi ya maneno kwenye habali ileile au habari mbili tofauti kama nataka kuzijibu kwa pamoja kama ulivyofanya .... Huwa najaribu nashindwa. NtashukuruHatari kabisa.
[emoji35][emoji35][emoji35]
Haya ndiyo madini ya ukweli aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi kama alivyonukuliwa
View attachment 1354639
Jamaa anajijua hapendwi na wananchi kwahiyo anafurahia madhira wanayokabiliana nayo.Siku za kubembelezwa zimeisha, yani ujenge kwenye bonde alafu utake mtu aje akufariji..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyakatai hayo ya 'empathy'.Watu hawapati akili kwa kusengenywa na kunyanyaswa, hapo unawaongezea msongo wa mawazo tu.
Watu wanapata akili kwa nchi kuwa na uongozi bora utakaowajali, kuwaelimisha, kuwashirikisha, kuwahamasisha na kuwaliwaza vizuri.
Magufuli kashindwa katika yote hayo.
Anajitengenezea uadui wa bure kabisa na wananchi wake mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Kwakweli aiseeHadi watu wapate akili!!
Niliwahi kusikia mahali kuwa maana ya neno Lindi ni Bonde, sasa sijui ni kweli??
Hata haivyo kama umewahi kusafiri kwenda lindi, ukiwa unaukaribia mji unakuwa kama unashuka bondeni, mjiwenyewe upo bondeni.
Ndio maana makao makuu mapya ya mkoa wamejenga huko juu mlimani kuepuka matukio kama hayo ya mafuriko.
There is such a thing as blaming the victim.Siyakatai hayo ya 'empathy'.
Kupata akili kutatokana na kujua mtu wanayemtegemea awaliwaze hana mwelekeo huo kabisa. Kuna kujifunza 'the hard way'.
Kwa upande wa pili, tunaweza kusema 'it is about time'; watu wamelemaa mno kiakili.
Acha pawepo na 'exception', labda tutastuka kidogo na kuanza kutumia akili kwenye mambo mengi yanayotukabili; si akili kwenye hili la kupeana pole pekee. Hili ni pamoja na akili ya kuchagua viongozi wetu.
Anyways, can't believe I am on his side on this...
An amazing number of Tanzanians is secretly sadistic. This is reflected on how an autocrat blaming the victims has so much support here.My Excellence, The President of the United Republic of Tanzania. Keep it up Mzee Baba. Makavu Live.
Haikwepeki kumpoda. Tetemeko liliposababisha maafa kagera alisema si yeye aliyeleta na kwamba hakuahidi ataleta tetemeko kwenye kampeni. Serikali haikutoa msaada kwa waathirika .Maafa yalipotokea Msumbiji na Zimbabwe akapeleka chakula cha msaada. Utaachaje kumponda labda.Acheni kumponda,kuna muda lazima tuambiwe ukweli hata kama unauma,baadhi tumekua Kenge hatusikii mpaka damu zitoke masikioni. Big up JPM.
macson
As Zogwale my reaction to this thread can only and only be read with reference to Physics. The opposite direction. Hope you got me now. The Law of motion.An amazing number of Tanzanians is secretly sadistic. This is reflected on how an autocrat blaming the victims has so much support here.
Schadenfreude is not a policy.
What is the policy to prevent this?
Ni kina Nani namaanisha kwako mwenye akili?Really?
Hivi wewe mzima kweli?