Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?

Hayo ndiyo majangili ya nchi makubwa
 
Nitakutesa sana mwarabu koko.
 
Wewe ni sawa sawa na mtu ambaye hajatoka nje ya kijiji chake na haamini kuwa kuna wilaya , mikoa na majiji. Jitahidi uwaze zaidi ya hapo ulipo
Kwa zile terms za hovyo kwenye ule mkataba mjinga hunifundishi chochote..
 
Bahati Mbaya sana Tumewapa nchi WAJINGA WATUTAWALE wenye akili.

Hii NCHI ya Ajabu mno
 
we ndio zezeta, uamuzi na direction anayoichukua rais ndio mwarobaini
Only zezeta anaweza akasimama na kutetea mazezeta. Hata Tozo mliimba mapambio hivihivi wakati sisi tukipinga, sasa imeondolewa mnapongeza.
Katika hili tena rais akibadili maamuzi napo mtapongeza, unajua kwanini? Sababu ninyi mliumbwa tu bila bila purpose.
 
Wizara wapewe wawekezaji
Sio yeye huyu mama anaingizwa mkenge tu na wajanja. Tumwonee huruma. Kuna vita ya kugombea urais ccm. Wanajitahidi kumharibia mama wa watu aonekani hawezi ili 2025 apigwe chini.
 
Utateseka sana mzungu koko,angalia tu usije ukapata vidonda vya tumbo.
Usinilalamikie, mlalamikie yule anayekufanya nikuumize bila wewe kujua, nitakutandika sana makonzi ya utosini wallahi..
 
Tungewapeleka kozi fupi vijana wetu wazalendo waliojenga ikulu ya Chamwino Kisha tuwape bandari. Au JWTZ na wasomi wao watashindwa kweli? Maana bandarini Kuna Siri za nchi pale, Kila mzigo uskaniwe na kutazamwa na mgeni mwekezaji kweli hili? Tukinunua rada mpya wajue, ndege vita mpya wajue, makombora mapya wajue nk, hii nchi si itakuwa uchi kabisa? Wangewapa jeshi wasimamie kama uzoefu wataupatiaga huko huko potelea mbali.
 
Miaka yoooote inafahamika watu wanapiga pesa Bandarini sio mchezo !! Ndio maana tumbua tumbua huwa haziishi pale !!
 


Marais wote waliibua madudu bandarini

Hata jk aliibua madudu mengi Tu

Yale madudu yalikuwepo na yataendelea kuwepo because wahusika wa hayo madudu hakuna mtu anaweza kuwagusa
 
Swwali zuri sana, hayo ndiyo yakuwauliza waliopewa amri ya kuchukuwa hatua.

Hii vita siyo ndogo lama mnavyodhania.

Ni vita kubwa because wenye mamlaka kwenye chama na serikali ndio wanaofilisi bandari

So hakuna jinsi ya kuwafanya chochote
 
Kutafuta "MENEJIMENTI" inayofaa aidha ndani ya nchi au nje ya nchi SIO SAWA na kufumbia macho "KUJITEGEMEA" na kwa hiyo kunyoosha mikono juu na kufanya vinginevyo. Huku kitaani yanayongelewa ni mengi mno kuhusu MASHAMBA ya 'bibi' likiwamo TPA, TANESCO .... n.k. na 'data' zikiambatana na hayo. Integrity ya 'data' hizo ni suala jingine ingawa lisemwalo lipo pia na wakereketwa hawatadanganyika milele. Hapo sio pazuri. Kwa nini tuende huko? Hata mitumbonomics italipuka kwa ukubwa wake ifikapo hapo. Kula, kula tu?
 
Hao wote ni wezi tu na yeye anawaondoa Ili aweke wa kwake!
 
Sio yeye huyu mama anaingizwa mkenge tu na wajanja. Tumwonee huruma. Kuna vita ya kugombea urais ccm. Wanajitahidi kumharibia mama wa watu aonekani hawezi ili 2025 apigwe chini.
Kwenye siasa hayo mambo yapo, sasa kushindwa kwake hiyo vita yake ya kisiasa kuna athari kwenye uongozi wake na hiyo ni tafsiri ya kushindwa kwake kwenye uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…