Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama ni hivyo kwamba MSD wanauza rahisi kwanini mnalalamika ? si uzeni rahisi ili hao maduka binafsi washindwe !Wewe ndio mwongo, unazifahamu taratibu za baraza la famasia? Pia maduka ya MSD yapo na dawa zina bei nafuu sana.
Kingine usichokijua ni hiki , Baraza la famasi mara kadhaa limeendesha semina kuwaasa wauza dawa kufungua maduka karibu na Mahospitali ambako ndio wateja wako wengi , kumbuka kwamba hawa ndio wawakilishi wa Wizara .