Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa

Hii inasikitisha sana, kuja kupata maendeleo kuanzia ngazi ya kaya ni ngumu sana. Watu kama hawa unategemea watakuja kutoboaje kama wanategemea miujiza ya kipumbavu kama hii.
 
Hakuna refu lisilo na nchaa ila kwa huu ujinga walionao watanganyika bado siuoni mwisho wa ccm kutawala hii nchi.
 
Watanzania wamshukuru sana Rais Samia kwa kuwezesha kupatikana kwa huu udongo mtukufu maana hili nalo limewezeshwa kwa uongozi wake shupavu chini ya chama chao cha CCM!
 
Mtu yeyote yule ayeamini kuna dini asiwacheke hawa maana na wewe mjinga kama hawa tu.
 

Neno limegeuzwa mchanga, imani za watu zimeamia kwenye udongo kama mafundi ujenzi. Au ndo ujenzi huru !!!!
 
Imani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…