Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa

Wanakula au unauweka ndani tu?
Unamwaga shambani kama ni mkulima, eka moja unavuna gunia 45 za mahindi. Ukimwaga kwenye uwanja wako ndani ya mwaka umemaliza ujenzi. Ukimwaga kuzunguka fensi yako, mchawi au mwanga hagusi hapo. Ukimwaga kidogo nje ya ofisi, promotion ni mapema tu.
 
Nikamwage bank tu
 
Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.

Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Udongo wa bwawa la mwalimu Nyerere la Rufiji,baada ya kumaliza kuchimba bwawa hilo wahandisi walikosa pa kuutupa Mwamposa akapita nao.
 
Maelfu ya watanzania wamonekana katika misururu mirefu wakipanga foleni kuchukua Udongo mtakatifu kutoka kwa mtume Mwamposa huko Arusha ili udongo huo uweze kuwatatulia matatizo Yao mbali mbali ikiwemo umasikini , njaa na magonjwa mbalimbali.

Baada ya kuja na version ya mafuta na maji sasa mtume amekuja na Udongo . Tusubiri next version atakuja na nini.
Badala ya kuchukua Udongo kupeleka maabara kupima kama unafaa kwa kilimo cha aina Fulani ya mazao watanzania wanachukua Udongo unaoitwa mtakatifu ili kuwatatulia matatizo waliyo nayo. We still have a long journey to Go.
Mwamposa piga pesa sana,wajinga mpka waamke watajua wao
 
Maskini WAKRISTO, wasiojitambua. Watashtuka akili zikiwa zimeharibiwa kiwango cha kutotibika. Ni ugonjwa wa akili wa kidini
 
Back
Top Bottom