baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Civilisation ni jambo pana, but I would choose something like Iran over Usa anyday kama factor ni kuwa Civilised.Nimeongelea cilivisation being at the highest stage in the US.Jambo la kuepo mapapai Marekani ni nje ya mada kiongozi.
Kama ni mapapai yapo kila kona ya dunia hii(hii ni pamoja na uarabuni).Nje ya mada kwanini kila mkibanwana na facts kimbilio lenu limekuwa ni kuleta mada za ushoga?(ni faida zipi mnapata?au kufanya hivyo kunawafanya muonekane wema au mnakemea?)
Sehemu ambayo mtu ana kata Gogo hata Barabarani, watu wanauana kila siku na kuruhusiwa kumiliki silaha, mateja wa kutosha, Hospitali za hovyo hovyo zinazobafilisha miili Na kuua watu etc
Kuna Nchi Kibao za Ulaya zipo Civilised zaidi kabla huja anza kufikiria Usa ni top of civilization.