Maelfu ya waarabu wanakimbilia Marekani kuishi. Kwanini hawaendi Qatar, Iran au Saudia?

Nimeongelea cilivisation being at the highest stage in the US.Jambo la kuepo mapapai Marekani ni nje ya mada kiongozi.

Kama ni mapapai yapo kila kona ya dunia hii(hii ni pamoja na uarabuni).Nje ya mada kwanini kila mkibanwana na facts kimbilio lenu limekuwa ni kuleta mada za ushoga?(ni faida zipi mnapata?au kufanya hivyo kunawafanya muonekane wema au mnakemea?)
Civilisation ni jambo pana, but I would choose something like Iran over Usa anyday kama factor ni kuwa Civilised.

Sehemu ambayo mtu ana kata Gogo hata Barabarani, watu wanauana kila siku na kuruhusiwa kumiliki silaha, mateja wa kutosha, Hospitali za hovyo hovyo zinazobafilisha miili Na kuua watu etc

Kuna Nchi Kibao za Ulaya zipo Civilised zaidi kabla huja anza kufikiria Usa ni top of civilization.
 
Yeah nakubali civilisation ni broad concept(sijataka kueleza why I've said something like US being at the highest stage in details, kwa maana tutakesha hapa. Nimefupisha kwa maana kila kitu kipo wazi kuhusu US)

Choose Iran at your own risk.Wamarekani kuruhusiwa kumiliki siraha hii hoja peke yake ina-prove how civilised they're(i.e they're mentally stable).Wewe unahisi na vichwa vyenu hivi mkiruhusiwa kumiliki siraha sio kwamba tutasikia misiba kila siku?

Marekani ulifika lini mwenzetu kuona hizo hospitali za hovyo hovyo?be honest brother lini kama sio kudanganywa.

In modern history(forget about past).The US has reached the highest stage in civilisation(I repeat) not China,the UK,Russia or France
 
Nchi za nje zipo nyingi ila kiwanja ni kimoja tu- USA. Hata marais wa nchi zao wanacheza green card lottery.

Uchaguzi mkuu wa kiwanja ni kama uchaguzi wa dunia nzima macho na maskio yote yapo kiwanja 🇺🇸🇺🇸🇺🇸

Nimeona leo Aljazeer wameonyesha lebanon, Palestina wanaomba raisi mpya wa US asaidie kumaliza vita.. Iran nao wameonyesha waswas kuwa ikiwa mmoja wa wagombea akishinda basi basi middle east amani itakuwa changamoto.. Iran hawakutaja jina ila wanamsema Trump maana alisema akiingia atawanyoosha.

Uchaguz wa US ni kamaUchaguz wa dunia. Vyombo vyote vya habar vikubwa dunian wanafatilia very close al jazeeea walirusha live kampeni za mwisho za Trupm na kamala. Kwa zaid ya lisaa..

US is still very poweful and very influential. uchaguzj tu wa kwao unakuwa kama wa dunia
 
Yeah nakubali civilisation ni broad concept(sijataka kueleza why I've said something like US being at highest stage in details, kwa maana tutakesha hapa. Nimefupisha kwa maana kila kitu kipo wazi kuhusu US)

Choose Iran at your own risk.Wamarekani kuruhusiwa kumiliki siraha hii hoja peke yake ina-prove how civilised they're(i.e they're mentally stable).Wewe unahisi na vichwa vyenu hivi mkiruhusiwa kumiliki siraha sio kwamba tutasikia misiba kila siku?
Kwani Usa hakuna Msiba kila siku? Umeshawahi ona figure za Mass Shooting ama vifo vinavyotokana na Bunduki Usa?

Hizi data za pewpew Research 2021
-Watu 48,000 walikufa kwa Bunduki
- around 20,000 waliuliwa na 26,000 kujiua.
-Kila mauaji 10 basi 8 ni ya Bunduki na mawili ndio vitu vingine

Chukua 48,000 gawanya kwa siku 365 kwa siku watu zaidi ya 100 wanauliwa Marekani kwa Bunduki

Marekani ulifika lini mwenzetu kuona hizo hospitali za hovyo hovyo?be honest brother lini kama sio kudanganywa.
Kuna Hospitali nyingi za Hovyo Na za bei Ghali, nyie jamaa mnaijua Marekani kwa media tu, someni vitabu, angalieni tafiti na data ambazo zinasaidia Akili.

Nakupa Mfano wa Hospitali za Hovyo ni Za Cosmetic Surgery, kama unavyoona huku App za mikopo na pronze schemes, Usa kuna Hospitali za kubadili maumbo wadada wanaongezwa makalio, lips kuwa nene, Chuchu konzi etc
Angalia hii documentary
Watu wanakufa na kuharibiwa daily kutafuta uzuri toka Hospitali ambazo hazipo safe

Kama hufahamu mkuu Usa kuna kitu Kinaitwa Medical Tourism ambapo watu wengi wanakimbia Nchi na kwenda Sehemu kama Mexico kupata Huduma rahisi ama bora za Afya

Is it peak Civilisation kwenye vitabu vyako? Kwa Utajiri wa Usa si watu wa kuanza kujadili Vitu kama Bima za afya.
In modern history(forget about past).The US has reached the highest stage in civilisation(I repeat) not China,the UK,Russia or France
Funguka Evidence.
 
Kwanini Wazungu (wakoloni) walikuja Africa na wasibaki kwao Ulaya na America? na hatukuwahi kuwahoji popote pale.
 
Waislamu wameshatosha huko Qatar, inabidi waislamu waende kwenye nchi zisizo za kiislamu ili waislamu waongezeke na huko
Utaratibu mzuri kabisa huu,"ni jambo jema kuwapelekea dawa wagonjwa mahala walipo badala yakusubiri wagonjwa waifuate dawa mahala ilipo.;
 
Waarabu wanakwenda sana Ulaya na America maana hao Ulaya na America ndio wamewaletea dhiki na ufukara kwao.

Iraq vita na dhiki kaipeleka USA haikuwepo.
Syria vita na dhiki wameipeleka USA na NATO.
Libya vita na dhiki kaipeleka USA haikuwepo.
Iran vita na dhiki kaipeleka USA haikuwepo maana kawawekea vikwazo toka miaka ya 1970 huko.

Waarabu wa UAE, Qatar, Kuwait na GCC yote na Saudia hawaendi ulaya kutafuta maisha bali huenda kufanya biashara, WaIraq na walibya hawakuwa wakienda Ulaya na USA kwasababu ya dhiki bali kutembea na kufanya biashara.

Vita kuu ya pili na ya kwanza ya dunia ilipeleka Wazungu wengi kutoka mataifa mbalimbali UK kujinusuru Manazi, hata wafalme kadhaa wa baadhi ya mataifa Ulaya walijificha UK.

Waarabu baadhi wameliweka wazi kwa kusema, Wazungu wameleta vita na kufanya kwetu kusikalike nasisi tutapeleka vita kwao kusikalike.

Cha msingi tuombe amani na kila mtu aishi kwao kwa amani na sio kuwaletea madhira wengine halafu kuwaona wajinga.
Kwanini DRC Congo hakuna Amani? Inamaana dunia inashindwa kupafanya DRC Congo kuwa na amani?
 
Pamoja na sababu nyinginezo lakini nadhani wanafuata kitimoto kule Marekani inaliwa kwa uhuru pasi na kujifichaficha
 
Kwani Usa hakuna Msiba kila siku? Umeshawahi ona figure za Mass Shooting ama vifo vinavyotokana na Bunduki Usa?

Hizi data za pewpew Research 2021
-Watu 48,000 walikufa kwa Bunduki
- around 20,000 waliuliwa na 26,000 kujiua.
-Kila mauaji 10 basi 8 ni ya Bunduki na mawili ndio vitu vingine

Chukua 48,000 gawanya kwa siku 365 kwa siku watu zaidi ya 100 wanauliwa Marekani kwa Bunduki

Kuna Hospitali nyingi za Hovyo Na za bei Ghali, nyie jamaa mnaijua Marekani kwa media tu, someni vitabu, angalieni tafiti na data ambazo zinasaidia Akili.

Nakupa Mfano wa Hospitali za Hovyo ni Za Cosmetic Surgery, kama unavyoona huku App za mikopo na pronze schemes, Usa kuna Hospitali za kubadili maumbo wadada wanaongezwa makalio, lips kuwa nene, Chuchu konzi etc
Angalia hii documentary
Watu wanakufa na kuharibiwa daily kutafuta uzuri toka Hospitali ambazo hazipo safe

Kama hufahamu mkuu Usa kuna kitu Kinaitwa Medical Tourism ambapo watu wengi wanakimbia Nchi na kwenda Sehemu kama Mexico kupata Huduma rahisi ama bora za Afya

Is it peak Civilisation kwenye vitabu vyako? Kwa Utajiri wa Usa si watu wa kuanza kujadili Vitu kama Bima za afya.

Funguka Evidence.
Honestly ukiwa unaandika vitu jaribu kutumia kichwa chako pia.Unapo-dump hapa vitu ambavyo unaokota mitandaoni kuna mda nta-question credibility ya sources zako za online(I mean trust your brain)

Watu kufa kwa bunduki sio jambo geni, kwahiyo sioni tatizo hapa(Hizi takwimu zako haziwezi ku-nullify statement yangu).Kusema US yuko katika peak,doesn't mean they're living in Jupiter or Pluto(no,thanks).Nimekwambia hivyo baada ya kufanya comparison na mataifa mengine duniani nikiangalia aspects kama:Economy,politics,technology,social life(i.e music,sports,education and stuff) and list goes on.

Ok,tell me now(I need honest answers,am not asking you to go and google stuff).

What does your internet tell about who is economically superpower?(you can consult your internet,permission granted)

Who has the best technology in this world?(Use your brain here with solid evidence to support your claims.no internet please!).

Who is the father of democracy recently?(whatever source you prefer).

In which country do we find the first ranked university?(I need your brain here don't google stuff)

Thanks.
 
Hao dawa yao Trump ngoja arudi mjengoni hatocheka na kima huyo ni mwendo wa deportation tu!
 
Kwasababu tunataka dunia nzima iendeshwe kwa sheria za kiislam
Kumbe wachina wapo sahihi kuwapiga quarantine , au wale wahuni wa Myanmar maana ustaarabu ni mchache sana kwenye coexistence.
 
Honestly ukiwa unaandika vitu jaribu kutumia kichwa chako pia.Unapo-dump hapa vitu ambavyo unaokota mitandaoni kuna mda nta-question credibility ya sources zako za online(I mean trust your brain)

Watu kufa kwa bunduki sio jambo geni, kwahiyo sioni tatizo hapa(Hizi takwimu zako haziwezi ku-nullify statement yangu).Kusema US yuko katika peak,doesn't mean they're living in Jupiter or Pluto(no,thanks).Nimekwambia hivyo baada ya kufanya comparison na mataifa mengine duniani nikiangalia aspects kama:Economy,politics,technology,social life(i.e music,sports,education and stuff) and list goes on.

Ok,tell me now(I need honest answers,am not asking you to go and google stuff).

What does your internet tell about who is economically superpower?(you can consult your internet,permission granted)

Who has the best technology in this world?(Use your brain here with solid evidence to support your claims.no internet please!).

Who is the father of democracy recently?(whatever source you prefer).

In which country do we find the first ranked university?(I need your brain here don't google stuff)

Thanks.
Are those thing what make someone Civilised?

Assume mtu ana utajiri wa kufa mtu kama Bakhresa ila anakula pembeni kuna kinyesi ni sifa ya mtu ambaye yupo Civilised?

Assume tena mtu ana technology kali ila ananitumia hio technology kuua watu utamsema huyo mtu ni Civilised?

Hii ni definition Murua kabisa ya kuwa Civilised

It means not being destructive in any way. Not being self-destructive, destructive to others or destructive to the environment. Self-destructive behaviours can include alcohol, gambling, lack of hygiene, lack of knowledge, narcissism, depravity, anger, bad dressing, lack of physical fitness, lack of self-control, excessive lust, lack of progress etc

Kwa kiswahili rahisi
-una technology kubwa ukaitumia Kutibu magonjwa na vitu vingine positive wewe ni Civilised, ukaitumia Technology unakatengeneza Bunduki watu wakauana hapa hii sio sifa ya kuwa civilised
-una population ina vitambi na magonjwa ya moyo yasiyoisha, vyakula visivyo na afya etc si sifa ya kuwa civilised
-watu wana kaa uchi wanavaa vaa hawajulikani wapo ofisini ama beach si sifa ya kuwa civilised
-mtu akiongea maneno mawili matatu la nne ni tusi si sifa ya kuwa Civilised etc

Mimi na wewe mkuu tunajua fika sifa nyingi za kuwa civilised Usa hana. Kuna Nchi nyingi za Ulaya hasa Ukanda wa Scandinavia unaweza ukazitumia kama mfano wa sehemu ambazo zipo Civilised ila sio Usa.
 
Goodnight sir!(sounds like time wasting)

Hivi maswali nliyokuuliza ndio majibu yake sio?

Technology(nya,nye,nyi,nyo,nyu).Which technology does US use to do distructive stuff?(Is it Apple Inc doing so?,IBM,Space X,Meta,Alphabet Inc,Tesla,or what?).

Again,technology is broad concept(go and find more abaout military tech,industrial tech and stuff)
 
Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Waarab kwa kweli ni mazezeta tu, wakiwa makwao na kukaa na magaidi wenzao wanawachukia wazungu kumbe moyoni wanawapenda na kutamani kuishi maisha yao, yaani kuwa care free. Nani mwenye akili timamu anataka kuvaa magunia kichwani na usoni, ukisikiliza muziki kujifurahisha unachinjwa eti ni haram, ukicheka na wenzako ni dhambi pia unachinjwa........Sasa hapa mtu ukipewa choice ya kuishi pepone Marekani au Jehanam Uarabuni, unachagua nini?
 
Goodnight sir!(sounds like time wasting)

Hivi maswali nliyokuuliza ndio majibu yake sio?

Technology(nya,nye,nyi,nyo,nyu).Which technology does US use to do distructive stuff?(Is it Apple Inc doing so?,IBM,Space X,Meta,Alphabet Inc,Tesla,or what?).

Again,technology is broad concept(go and find more abaout military tech,industrial tech and stuff)
Huna sifa ya kudebate na watu Good night.
 
Si Kweli nchi zinazoongoza kupokea wakimbizi ni tatu Iran, Uturuki na Ujerumani

Nchi zinazoongoza kuwa na Migrants Saudi ni ya tatu.

Nchi zinazoongoza kupokea wageni wengi per capita karibia zote ni za kiarabu.

Mfano nchi kama UAE ina watu kama milioni 10 ila milioni kama 9 ni wageni na milioni kama 1 ndio Raia.

So hii ni myth ambayo ipo repeated kila siku kudanganya watu.
Weka source ha data zako!
 
Back
Top Bottom