Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

acha mbwembwe wewe, ndege sio tu kwa ajili ya abiria wa hicho kijj ambacho uwanja upo, ni kwa ajiri ya ukanda mzima wa maeneo hayo, so abiria hawawezi kukosekana
 
'Route' hiyo ni ya moja kwa moja au inaunganisha na vituo vingine ili kukusanya abiria?

Labda niulize swali, mbali ya mada: Hivi hayo mabegi hao akina dada huwa wanayajaza vitu gani? Mapedi? Sijawahi ona wahudumu wa kiume wakiwa nayo kivile! Sijadharau jinsia, ni swali tu.

Erythro, unaweza kusaidia jibu?
 
Chato chato kijiji kinarazimishwa kiwe jiji patamu kwelikweli ila siku zote wanasema maji hayawezi kupanda mlima nooo
 
Watakosa abiria hiyo ruti
 
Mtendaji Mkuu wa ATCL, Mhandishi Ladislaus Matindi amesema wanatarajia kuanza safari za ndege kwenda mkoani Geita kutokea Dar es Salaam kuanzia Januari 9, 2021. Amesema wataanza na safari mbili kwa wiki na zitaongezeka kuwa tatu kuanzia Januari 18 (Jumatatu, Alhamisi & Jumamosi).

 
Hivi Mfugale mpaka leo hajafikisha miaka 60 ya kustaafu?
 
Ni jambo jema!
 
Fantastic news. Au unatia tu Kamanda? Unajua eneo hilo ni kubwa lina watu milioni 4. Nearest other Airport ni Mwanza (350 kilometres) au Entebbe (429) au Lubumbashi (500). Linganisha na kwa Mbowe kuna international airports 3 ( KIA 45 kms, Embakasi 187, na Arusha 62), kwa watu milioni 2.5 tu. Which is better?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…