Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Jiheshimu
Twende kazi, najua wapo mmaojitawaza kwa maji pia wapo mnaojitawaza kwa magazeti.
Ukweli usemwe tu, wanawake wa kiislamu kwenye hili la usafu wapo mbali sana, mbali ya kuitunza na kuihifadhi vyema miili yao kiusafi pia wapo mbali.
Wakristo jifunzeni, siyo mnaishia kupiga miswaki tu
 
Kama kuna mwanamke yeyote mwenye akili timamu,hata kama hana dini,asiyetumia maji ktk kujisafisha baada ya kujisaidia basi lazima atakuwa mshirikina tu
 
Tatizo waislam bado mpo kwenye propaganda na marketing ya dini. Paka akiingia tu msikitini basi ni topik dunia nzima. Akitokea mtu aliyekuwa maarufu duniani na aliyefulia akiahidiwa kubadili akiwafuata ili wampe vimichango basi ndio habari dunia nzima. Ona watu wanaanda kombe la dunia lakini ni propaganda za kidini zimo ndani, kuwaita akina Zakir Nir eti wawabadili watu, wanamsajili mchezaji mkubwa wa dunia ili wakamshinikize atangaze dini Yao. Wakristu hawapi huko siku hizi ,kujiunga tuu ukristu lazima upigwe darasa la ukatekumeni miaka 3 mfululizo
 
Wakristo walishindwa kumudu elimu waliyoipata, matokeo yake masikio yakazidi kichwa, wakaanza kujibomoa.
Msingi wa tofauti za Waislam haupo kwenye Quran yao bali kwenye hadithi.
Nenda kwa Wakristo kila nchi ina biblia yake, kila Kanisa linabiblia yake na kila mtume ana ya kwake.
Sasa hivi kuna hadi Biblia zenye kitabu cha Mwajuma
 
Kama kuna mwanamke yeyote mwenye akili timamu,hata kama hana dini,asiyetumia maji ktk kujisafisha baada ya kujisaidia basi lazima atakuwa mshirikina tu
Wapo wengi tu, hao ndiyo wale wasemao "Mungu huangalia rohoni". Sijui roho gani hiyo isiyokupa muongozo wa maisha unaoutakasa mwili. Wakristo wamesahau kuwa mwili ni hekalu linalohotaji usafi na hata biblia inafundisha usafi wa roho na mwili lakini wakristo wamechagua roho mwili wameutupa huko huku wenzao waislam wakichagua usafi wa mwili huku wa kiroho wakiutupa motoni
 

Biblia inasheria za Mungu (Yahweh) na Mapokeo ya wazee(Mila na desturi za kiyahudi)
Hapa tunazungumzia Ukristo ambao haufuati Biblia Kwa 💯 Jambo ambalo linaufanya upigwe gap na uislam (licha yakuwa uislam ume-copy vitu kwenye Uyahudi).
 

Hayo matusi yako hayatakufanya umnunylie Mkeo hata kanga.
Akili yako kisoda imeshindwa kukusaidia kujiendesha kimaisha unadandia mada zisizokusaidia lolote
 
Saiv ukifikwaa na msiba kwetu wakristo ni stress tupu...catering msibani..kaburi kujengewaa..sare za familiaa..mziki wa maombolezo...mpk msiba uishe upoo hoii[emoji119]wakristo tunaoverdo jamani
Upigaji tu,kuna watu wanageuza misiba fursa
Kwenye familia kama mtu mmoja asiposimama imara mtaletewa mazingaombwe sjui jenezq la mln 4 kmbe jeneza laki 7,hapo washawekq cha juu
Sjui kupatikana kaburi kuchimba mln 6 kmbe kule wanatoa 1.4 mln tu,nyingine wanachikichia
Kwenye chakula nk kote uwizi
Watu misiba ni kama fursa ya kujipigia hela kuanzia ndg na jamaa

Ova
 
Boss mbona hasira hahaha.... kwanza sisi hatuna siku kuu ya ibada, kilasiku sisi ni swala tano mpaka kufa! Kwahiyo siku zote ni sawa, usifosi tufanane, na hata kurejea huko nilikuwa sifananishi Bali nabainisha

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…