Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

Sumbawanga kuna baridi kali sana tangu mwaka jana. Kwa mtazamo wangu kwa ukali wa baridi Makete kunashika namba 1 nchini, 2 Makambako, 3 Njombe, 4 Mwakaleli (wilayani Rungwe) na 5 Sumbawanga
 
Kwa hali ubaridi ambao Ipo huku Dar kwa sasa hyo Njombe, Makete itakuwa sio poa🤔
 
Arusha iz overated.
Njombe
Mbeya
Iringa
Hii mikoa weka mbali na watoto.

Kwa manispaa
Usisahau kuiiweka Sumbawanga.

Wilaya nje ya lushoto Kuna
Gairo nayo SI haba
 
Hilo la mazao nakataa mkuu unataka kuniambia mikoa ya pwani inazalisha mahindi kuliko mikoa ya nyanda za juu kusini? Big no i see!!
 
Joto halipo Dar tu
Hata Moro Kuna mazao kibao yanalimwa na yanawahi kukomaa sababu ya joto
 
Hilo la mazao nakataa mkuu unataka kuniambia mikoa ya pwani inazalisha mahindi kuliko mikoa ya nyanda za juu kusini? Big no i see!!
Elewa point boss nimesema mazao Kama mahindi na papai kwa mikoa yenye joto mazao yanawahi kukomaa kuliko mikoa yenye baridi. Sijasema mikoa ya Pwani inaongoza kuzalisha mahindi kuliko nyanda za juu Kusini@
 
7. Inatunyooshaje huku siku jua likiwaka linawaka kwa masaa[emoji50]

Mbeya mjini binafsi naona hakuna baridi kalii.
 
We ni mpumbavu tu unaanzisha mada za kijinga.
Huyo alosema arusha na moshi ndo kwenye baridi ni nani. Amekua mtabiri wa hali ya hewa au.
Hata ingalikua hivyo ni kwa faida ya nani au hasara ya nani.
Ujinga mtupu
 
7. Inatunyooshaje huku siku jua likiwaka linawaka kwa masaa[emoji50]

Mbeya mjini binafsi naona hakuna baridi kalii.
Mbeya town nilikuja mwezi wa5 mwanzoni nilipigwa na baridi kinoma , sipati picha baridi la kipindi hiki lipoje. Maana hiyo mwezi wa 5 kwa Morogoro bado kulikuwa na joto Sasa kwa hili baridi la Moro kwa Sasa ni hatari sipati picha kwa huko Mbeya
 
Kwa mie ninaetokea kwenye baridi kalii mbeya mjini naona hakuna baridi hadi nashangaaga nikienda hilo baridi linalokuzwa mbona joto[emoji23]

Nilikuwepo huko nasema mwezi huu wa sita naliona kawaida tu,na siogagi maji moto maana naona joto,

Wenyeji wanasema kuna baadhi ya sehemu kuna baridi.
 
Mbeya town nilikuja mwezi wa5 mwanzoni nilipigwa na baridi kinoma , sipati picha baridi la kipindi hiki lipoje. Maana hiyo mwezi wa 5 kwa Morogoro bado kulikuwa na joto Sasa kwa hili baridi la Moro kwa Sasa ni hatari sipati picha kwa huko Mbeya
Nenda mgeta utajuta kuzaliwa,
 
Njombe kiboko nyuzi joto 5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…