Maeneo yenye baridi la kufa mtu Tanzania

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wadau!

Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi.
Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo ukifika unaweza kukimbia siku hiyohiyo.

Maeneo hayo ni Kama ifuatavyo;

1. Njombe!
Kwa Tanzania hakuna kama Njombe, ukianzia Makete, ludewa, Makambako, huko ukienda ujipange.
Huko ni baridi mwanzo mwisho😃😃.
Yaani ukifika msimu wa baridi ndio Hali unazidi kuwa ngumu.

Arusha na Moshi hapa wakasome Kwanza, Kwanza baridi Yao ni yamsimu, ingawaje yapo baadhi ya Maeneo Kama Rombo huko nako kuna baridi lakini haifikii hayo Maeneo hapo.

Nyumba zote za Maeneo ya Mkoa wa njombe na Iringa zina madirisha ya vioo na Dari za mbao kuepusha baridi kuingia lakini bado utaisikia tuu na lazima ufunike Yale mablanket makubwa.

2. Iringa, hasa wilaya Mufindi, Mafinga.
Mafinga na Makambaku ni pua na mdomo, Hali ya hewa zinafanana. Baridi mwanzo mwisho. Yaani miezi yote 12 baridi lipo, sema kuna kipindi linapungua lakini kipindi cha kiangazi baridi lake ni Sawa na kipindi cha baridi la baadhi ya mikoa Kama Pwani, na Dar, Dodoma, Singida, tabora n.k

3. Arusha.
Wakati mwingine watu waarusha baridi Lao wanadhani ndio linaongoza Tanzania lakini kimsingi sivyo, wao wanaweza kushika nafasi ya tatu wakichuana na Kilimanjaro.

4. Kilimanjaro, hasa Maeneo ya Moshi, Rombo, Moshi vijijini, Hai, Usangi, Chome, Suji, Tae n.k
Baridi la Maeneo ya marangu ukipanda Mlima Kilimanjaro nalo ni Kali, lakini haliumizi Kama lile baridi la Mafinga, au njombe huko.

5. Tanga, Lushoto.
Milima ya usambara imechangia Kwa kiasi kikubwa kuifanya wilaya ya lushoto na Maeneo ya karibu yanayozunguka Maeneo hayo.

6. Mbeya, Maeneo ya Mbeya Mjini, Rungwe, na Tukuyu kuelekea Kyela,
Baridi la Mbeya ni Kali ingawaje linamsimu wake..

7. Ruvuma
Ukaribu wa Songea na mkoa wa njombe ni Kama ilivyo Kwa ukaribu wa Moshi na Arusha.

Sehemu hizo Kwa hapa Tanzania kama unataka kujua nini maana ya baridi basi fika sehemu hizo, ingawaje yapo Maeneo mengine ya Mikoa Kama Morogoro Kama Turiani, na Maeneo ya Singer na Rukwa.

Nawasilisha
 
Natokea Njombe, sehemu yenye hali ya hewa nzuri kabisa. Mtu akisema nichague kuishi kati ya Njombe na Dar ES salaam, basi nitachagua kuishi Njombe, Nchi ya asali na maziwa. Hali ya hewa ya Dar ES Salaam ni mbovu, joto kali kama unabanikwa. Kesho andika na mikoa yenye joto kali. Joto kali halina faida yoyote ila baridi kali lina faida.
 
Fashion makoti
 
Nimeishi Mufindi, Mbeya na Arusha,
Kuhusu Njombe na Mufindi wala sina shaka ndizo sehemu zinazoongozoea kwa baridi.

Baridi ya Mbeya ikifika mwezi wa 6 huwa ni kali kiasi kuliko ya Arusha.

List iwe hivi

1. Njombe
2. Iringa
3. Mbeya
4. Arusha
 
Tatizo Njombe Ukimwi ndio nyumbani kwake,ngono kila sekunde.
Siku hizi UKIMWI siyo ugonjwa unaotisha tena mkuu. Watu wanaishi vizuri kabisa bila hofu wala nini? Akili zao pia zina amani na watu hao hao wenye Ukimwi ndiyo wazalishaji wa malighafi mbalimbali mkoani Njombe. Kungekuwa kuna njaa labda, Ukimwi siku hizi siyo kitu cha kusemea mkoa wa Njombe
 
Ndiyo uelewe sasa kuwa baridi unaweza kulidhibiti, je utaweza kudhibiti joto? Ndiyo maana viongozi wa dunia wako busy kutunga Sera zitakazo rudisha dunia iwe na baridi kama la Njombe. Dunia itakuwa sehemu salama ya kuishi kama itakuwa na baridi kama la Njombe siyo joto la Dar.
Joto linadhibitiwa vizuri tu kwa kutumia AC, Feni, madirisha makubwa yenye hewa Safi na wavu, kuvaa nguo nyepesi Kama T-shirt, singlend (vest) nk tofauti na baridi watu wanalala na jiko la mkaa ndani wanakosa oxygen Hadi wanapoteza maisha. Sehemu za joto ni nzuri Sana hata mazao hukomaa kwa haraka zaidi mfn mahindi ,papai nk .
OVER
 
Nikajua unafanya comparison kwa kuweke degree ya temperature kwa kila eneo husika.
Kwema Wadau!

Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi.
Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo ukifika unaweza kukimbia siku hiyohiyo.

Maeneo hayo ni Kama ifuatavyo;

1. Njombe!
Kwa Tanzania hakuna kama Njombe, ukianzia Makete, ludewa, Makambako, huko ukienda ujipange.
Huko ni baridi mwanzo mwisho😃😃.
Yaani ukifika msimu wa baridi ndio Hali unazidi kuwa ngumu.

Arusha na Moshi hapa wakasome Kwanza, Kwanza baridi Yao ni yamsimu, ingawaje yapo baadhi ya Maeneo Kama Rombo huko nako kuna baridi lakini haifikii hayo Maeneo hapo.

Nyumba zote za Maeneo ya Mkoa wa njombe na Iringa zina madirisha ya vioo na Dari za mbao kuepusha baridi kuingia lakini bado utaisikia tuu na lazima ufunike Yale mablanket makubwa.

2. Iringa, hasa wilaya Mufindi, Mafinga.
Mafinga na Makambaku ni pua na mdomo, Hali ya hewa zinafanana. Baridi mwanzo mwisho. Yaani miezi yote 12 baridi lipo, sema kuna kipindi linapungua lakini kipindi cha kiangazi baridi lake ni Sawa na kipindi cha baridi la baadhi ya mikoa Kama Pwani, na Dar, Dodoma, Singida, tabora n.k

3. Arusha.
Wakati mwingine watu waarusha baridi Lao wanadhani ndio linaongoza Tanzania lakini kimsingi sivyo, wao wanaweza kushika nafasi ya tatu wakichuana na Kilimanjaro.

4. Kilimanjaro, hasa Maeneo ya Moshi, Rombo, Moshi vijijini, Hai, Usangi, Chome, Suji, Tae n.k
Baridi la Maeneo ya marangu ukipanda Mlima Kilimanjaro nalo ni Kali, lakini haliumizi Kama lile baridi la Mafinga, au njombe huko.

5. Tanga, Lushoto.
Milima ya usambara imechangia Kwa kiasi kikubwa kuifanya wilaya ya lushoto na Maeneo ya karibu yanayozunguka Maeneo hayo.

6. Mbeya, Maeneo ya Mbeya Mjini, Rungwe, na Tukuyu kuelekea Kyela,
Baridi la Mbeya ni Kali ingawaje linamsimu wake..

7. Ruvuma
Ukaribu wa Songea na mkoa wa njombe ni Kama ilivyo Kwa ukaribu wa Moshi na Arusha.

Sehemu hizo Kwa hapa Tanzania kama unataka kujua nini maana ya baridi basi fika sehemu hizo, ingawaje yapo Maeneo mengine ya Mikoa Kama Morogoro Kama Turiani, na Maeneo ya Singer na Rukwa.

Nawasilisha
 
Joto linadhibitiwa vizuri tu kwa kutumia AC, Feni, madirisha makubwa yenye hewa Safi na wavu, kuvaa nguo nyepesi Kama T-shirt, singlend (vest) nk tofauti na baridi watu wanalala na jiko la mkaa ndani wanakosa oxygen Hadi wanapoteza maisha. Sehemu za joto ni nzuri Sana hata mazao hukomaa kwa haraka zaidi mfn mahindi ,papai nk .
OVER
Aisee unaweza kutembea na feni, ac, madirisha? Nani alikuambia joto unadhibiti kwa kuvaa vest? Huko Dar ES Salaam kuna mazao gani mliyo lima na yaka komaa kwa joto? Angalia mikoa ya Kusini ambayo ndiyo yenye baridi kali, ndiyo inayo lisha karibia Nchi nzima.
 
Back
Top Bottom