Gobole
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 1,806
- 4,670
Sisi wa Uswazi ndani ndani.
Barabara ya lami gomz to Moshi bar yenye taa na mitaro yake. Mradi wa maji kisarawe to gomz, toka 1994 tunahamia gomz hatukuwahi kua na maji ya bomba, chuma kimeingia in 4yrs mimaji km yote.
Na Flyover yetu ya Tazara, hii watu wanaosema ni ya JK nadhani ni vyema ht waka google kuangalia ilianza lini na ikaisha lini, sisi wakazi wa maeno hayo ndo tunaijua zaidi msitusemee tafadhali(Mipango sio matumizi, wewe demu wako akipewa mimba na mtu mwingine huyo mtoto anakuaje wa kwako?)