Tukianza kutaja hapa aliyoyafanya tutakesha. Hakuna Rais bora Tanzania hii kama Magufuli.
Ningeshangaa kama usingekuwa wa pili kuchangia,inawezekana una ID zaidi ya moja,nchi za wenye akili hiyo sio sifa ni majukumu ya serikali..ili ushawishi watu wakupende unanakiwa u create jobs. Amkeni nyinyi wafuga n'gombe.
 
Pumba tu hizi. Nitajie Rais ambaye hajajenga kitu halafu nikuwekee muziki wake hapa!! Mbona hivyo vya DIKTETA wa Chato ni vichache sana!! Pamoja na kwamba kaanzisha bila kumalizia!!
 
Kuna mtu anazurura zurura na kuigiza akirudi nyumbani anatuambia Bei ya vitu TZ ni nafuu ukilinganisha na Marekani. WTF
Magufuli alikuwa hasafiri sababu ya mapungufu aliyokuwa nayo:
1. Ubovu wa mwili kwa vile aliwekewa pacemaker kifuani au betri mwaka1992 na ilikuwa chakavu. Alikuwa anaogopa kuzimika hewani.

2. English ilikuwa not reacheable pamoja na kuwa na PhD magumashi ya maganda ya korosho (RIP Ben Saanane). Ni aibu kuongea through Mkalimani hata kwenye nci zinazoongea kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…