mbafuu...si alilipwa mshahara kwa ulikuwa msaada anatoa?
 
Tawala mbalimbali kufanya mauaji haifanyi wala kuhalalisha kufanya mauaji liwe jambo halali.Two wrongs don't make a right my friend.A simple logic but hard to understand.
Nakubalo Lakini Hata Waliomtangulia Ungeweka Hivi Ingekua Sawa Kuliko Kumkolia Mtu Mmoja kama Ndo Mala Ya Kwanza Kufanya Hilo Jambo
 
Ametuonyesha na kutufundisha pia kwamba, Mtu kuwa Rais na ili afanye vizuri haihitaji awepo madarakani miaka kumi!

Kumbe hata awamu moja tu ya miaka mitano inatosha kabisa, nashangaa kuna mtu mmoja mpumbavu eti JPM na uongozi wake anaulinganisha na utawala wa Nyerere aliyekaa miaka zaidi ya 20 huko, halafu aje kulinganisha vitendwa vya mtu aliyekaa miaka mitano pekee??

Na hata hivyo akili yake ikitulia atakuja kufahamu kuwa, JPM alikuwa habari nyingine kabisa

Na ole! Kwamba yeye ndo Angelika miaka hiyo 20 kama Nyerere, nchi yetu aidha ingelikuwa ya pili kwa Africa kiuchumi ukiacha SA na au kwa Farao!

Lala salama Mwamba
 
Hakusafiri lakini hao wa huko Ulaya na USA shughuli yake yaliipata vilivyo. English ni lugha tu kama kimakua au kiyao sema waliotutawala ndio wanaifanya ionekane ya maana.

Karume alikuwa baharia na hakusoma kabisa, lakini ameacha heshima kwao Visiwani.
 
"Tuna vita vya kiuchumi na wazungu tena mabeberu. Mabeberu sio watu wazuri" alisikika mjinga mmoja akiwaponda watu waliomuwekea betri kwenye moyo ili kuokoa maisha take.
Betry hiyo ililipiwa na serikali ya Tanzania na hela za humu ndani! Ndo hicho JPM alikuwa anasisitiza kwamba kama yeye aliwekewa Betry huko ulaya na mabeberu, basi yeye alianza kuboresha mahospitari hapa hapa nchini kusudi wenye matatizo ya kuwekewa Betry kama yeye, wafanyiwe hapa hapa nchini.
 
Viongozi wa nchi wanaliona tatizo la ajira nchini ambalo tungeweza kulithibiti kama tungekuwa tunazalisha wenyewe mahitaji yetu badala ya kununua toka nje!
Maneno kama haya yanatamkwa sana na viongozi lakini hayaendani na matendo yao! Mfano mdogo , viongozi wangekuwa wanashona na kuvaa nguo za hapa kwetu badala ya shopping wanayofanya wakiwa nje , tungeweza kutengeneza ajira ngapi na Kusave forex kiasi gani? Je Kwanini viongozi hawataki kuonesha mfano kwa kuvaa nguo za hapa hapa nyumbani?
 
Vyote havikufuata Public purchase Procedures ni upigwaji tu!
JPM jizi la karne kuwahi kutokea TZ
JPM jambazi muuaji
 
bado hamjakata tamaa tu eeee
 
Huwezi kumsafisha.
 
Watakaoponda na kupinga Ni WACHAWI
 
Huyu ambaye hajawahi kupiganisha Tanzania na hata ka Burundi ndio Simba wa vita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…