Pius Dominick
Member
- Jan 20, 2017
- 77
- 56
Cdm ni chaka la ukabila na ukanda. Toa takwimu labda tutakuelewaKitu ambacho kinaipa asilimia kubwa ccm mpaka sasa ni kuwekeza nguvu zao kuwakabili chadema tu
Hapo nawapa asilimia 50 kwa kuwatumia police tunaowalipa kwa kodi zetu
Lakini kiuhalisia hakuna ahadi hata moja iliyofanywa au kutimizwa na ccm
Tanzania ni ile ile aliotuachia jakaya kikwete
Haijapiga hatua yoyote
Whether physically built ama not, nani keshahukumiwa tangia utumbuaji majipu uanze??Akili ni nywele kila mtu ana zake; nani alikuambia kwamba mahakama ya mafisadi inajengwa? Hiyo ni division tu ya mahakama kuu ya Tanzania na kumbuka mahakama siyo majengo, mahakama inaweza kuendeshea shughuli zake hata hotelini.
Yamekamatwa na mengine yanaendelea kukamatwaWhether physically built ama not, nani keshahukumiwa tangia utumbuaji majipu uanze??
Yamekamatwa na mengine yanaendelea kukamatwa
Hapo umenena mkuu naungana na wew 100%Rushwa bado, ila pamoja na hayo mazuri bado ameharibu kwenye demokrasia, bunge live, tunataka vyeti vya bashite na shutuma zake za ufisadi na uvamizi zifanyiwe kazi